Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Hii redid rfa ndio redio pekee inayofika kila kijiji cha nchi hii inazidi hata TBC redio
Ni redio inasikilizwa sana, sina takwimu sahihi ila ni redio ambayo ni miongoni mwa redio inayosikilizwa sana pengine kuliko redio yeyote nchini, ni redio inayosikilizwa na kila rika kila aina ya watu waelewa wa mambo na wale wasiojua mambo mengi
Ukipita mtaani rfa inaunguruma Je inakwama wapi kibiashara? Angalia redio changa zinasikika mkoa mmoja tu wa dar es salam zinajiendesha kwa faida lkn rfa tunaambiwa hata wafanyakazi hawapati mishahara yao (kutolipa wafanyakazi mishahara ni hatua ya mwisho kufilisika
Ndugu dialo anakwama wapi? Mimi nafahamu dialo anaukwasi wa kutosha tu kwanini asiajiri mtu atakayekuja kuendesha kampuni kwa faida!!
Kuna vijana wapo mtaani wamebobea kwenye kurun kampuni ambao ukiwapa nafasi lazima ndani ya miaka miwili uanze kuona matunda
Jifunze kwa kwa vyombo Kama IPP na clouds media ambao walikubali kufuata mtiririko wa kitaalamu kuendesha kampuni
Hiyo Sahara ukiwauzia watu wanaojua biashara ndani ya miaka mitano utaona jinsi biashara inafyofanywa