R 4 za Samia na ufafanuzi wake mfupi

R 4 za Samia na ufafanuzi wake mfupi

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,986
Reaction score
13,486
Kila siku tunaambwa R nne za rais. Kwanza, sijui kama anazijua vilivyo hata wale waliomzunguka. Pili, sioni zikifanyiwa kazi. Tatu, sioni zikitafsiriwa kupitia elimu ya urais kwa umma. Nne, ni kamba za kawaida za kisiasa aka usanii.

Nazo, waweza kuziona hivi japo hawasemi.

Reform kwao ni deform aka haribu.

Resilience kwao ni recidivism aka jinai.

Reconciliation kwao ni retribution aka patiliza.

Na Rebuild kwao ni ruin aka bomoa.

Mwisho wa siku, unapata DRRRs na siyo 4Rs.

Unaweze kuongeza moja kubwa kuwa wanachofanya ni Recycling, Rebuking, Remanding, na Refusing Hizi R nne nazikubali kuwa zamfaa bi mkubwa.
 
Back
Top Bottom