Quran ya wakati wa Mtume SAW

Quran ya wakati wa Mtume SAW

Hapo kwenye kuweka kwenye maandishi unadanganya, hayo yalikuwepo kabala hata ya karne ya kwanza utawala wa kirumi ulitumia huo mfumo kwenye mikataba toka enzi za Plato, kwa hiyo sio Quran iliuleta, quran imeukuta upo.

Kwa nini hamsemi ilifunuliwa mnasema ilishushwa?
We endelea kujishaua kwa kujifanya unajua sana kuona kasoro vya wenzio wakati kwako kuona kasoro hakuitaji degree kuziona
 
Qur an Ilishushwa kwa njia ya Wahyi. Then ikaandikwa, ni sawa na kwny Vikao Ukioneshwa Minutes za vikao kuhusu alichosema au kuagiza kiongozi ubishe kuwa si kweli kwa huo sio Muandiko wake. Qur an Ilishushwa kupitia kwa Mtume Muhammad then akaagiza iandikwe ili iwe rahisi kufikishwa kwa watu. UISLAM unathamini sana Maandishi ndio maana tunalazimishwa kwenye Qur an kuwa Makubaliano yoyote yawe kwenye Maandishi na awepo Shahidi, Fikiria hilo agizo lipo tangu karne ya Saba kabla hata hizo sheria za kilimwengu hazijang'amua hili.

Hujaelewa japo Umesoma nilichoandika. Nimesema Waislam WAMELAZIMISHWA kuwa na Mikataba kweny Makubaliano yao.Hao Warumi hawakuwahi kuwa na Amri ya aina hiyo, hayo mengine ya kushushwa na kufunuliwa ni tofauti ya lugha kwenye kiswahili pengine tungekuwa tunafanya Mjadala kwa kichaga au kinyakyusa pengine isingekuwa hoja

Kati yangu mimi na wewe nani hakuelewa? soma ulichokiandika awali na mimi nikakukanusha alafu sasa unakimbia kivuli chako,kitakufuata tu.
 
Mkuu aya zilishushwa na mwenyezimungu na zilihifadhiwa vichwani kabla ya kuandikwa katika hizo ngozi za wanyama na majabali n.k. hapo awali njia kuu ni kuzikariri orally
Shahidi ni nani kama ni kweli,huyo mtume wenu alishushiwa hiyo Quran au aliamua kuwamezesheni maneno yake mwenyewe kwa kadri ya mapenzi yake!
 
Kweli unahitaji ushahidi? Manabii wote walipokea maagizo ya mwenyezimungu mbele ya shahidi gani? Nadhani hapo tumekwenda too far kutaka ushahidi wa maagizo ya mungu.
 
Ngoja nimwite sterling wa upande huo, kuja mama FaizaFoxy mtaalam wa kubishana na halaiki . Mjuzi wa siasa, Mjuzi wa dini, Mjuzi wa lugha na Mjuzi wa....

Ma sha Allah unaweza kuniona wa ajabu lakini ni upeo tu nilionao na wako ni tofauti, sina asili ya ujinga kama wewe.

Tena hayo uliyoyataja ni kidogo sana, kuna mengi sana nnayafahamu ambayo huna uwezo hata wa kuyafikiria. - Kumbuka hilo.
 
Ilishushwa Qur an sio Maandishi ya Qur an, hapo yanaongelewa Maandishi. Nyie ndo kizazi kinachoamini ujinga hufutwa kwa kujua kusoma na kuandika tu.

Sasa tuambie namna ilivyoshushwa (kila step na namna) na kufikia kwenye mkono wa mwandishi na kuandika hayo ya huko Birmingham.
 
Ma sha Allah unaweza kuniona wa ajabu lakini ni upeo tu nilionao na wako ni tofauti, sina asili ya ujinga kama wewe.

Tena hayo uliyoyataja ni kidogo sana, kuna mengi sana nnayafahamu ambayo huna uwezo hata wa kuyafikiria. - Kumbuka hilo.

Mbona leo umepoteza 'ukomavu' wako kwa maneno ya kukasirisha ya #sexologist . Usikubali mjinga akuvute kwenye anga zake za ujinga kwa kukasirishwa. Sisemi wewe ni mjinga ila umevutwa kwenye anga za mjinga na kukubali kwenda huko.
 
Shahidi ni nani kama ni kweli,huyo mtume wenu alishushiwa hiyo Quran au aliamua kuwamezesheni maneno yake mwenyewe kwa kadri ya mapenzi yake!

Swalia lako zuri sana kijana, shahidi wa kwanza ni Qur'an yenyewe. imetolewa challenge ndani ya Qur'an kwa kila asiyeiamini na mpaka leo hii, miaka zaidi ya 1,400 hakuna hata mmoja wenu aliyeiweza hiyo challenge, rahisi sana, jaribu bahati yako, ni hii hapa:

Qur'an 17:88. Sema: Wangeli kusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana wao kwa wao.

Kama challenge hiyo ya mwanzo ni ngumu kwako na washirika wako wote na hamuiwezi kuleta hiyo ya mfano wa Qur'an kamili basi mmerahisihiwa kazi, sasa mnapewa challenge mtuletee japo sura kumi tu zinazofanana na Qur'an:

Qur'an 11:13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.

Na kama hizo pia hamuwezi mmepunguziwa tena kazi leteni moja tu, kama mu wa kweli:

Qur.an 2: 23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.

Challenge inaendelea:

Qur'an 10:38. Je! Ndiyo wanasema ameizua? Sema: Hebu leteni sura moja mfano wake na muwaite (kukusaidieni) muwawezao, isipo kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnasema kweli.

Shahidi wa pili ni wewe na binaadam wote duniani, kwani umeshindwa kuleta mfano wake mpaka sasa.

Hapo sasa!

Ma sha Allah unaweza kuniona wa ajabu lakini ni upeo tu nilionao na wako ni tofauti, sina asili ya ujinga kama wewe.

Tena hayo uliyoyataja ni kidogo sana, kuna mengi sana nnayafahamu ambayo huna uwezo hata wa kuyafikiria. - Kumbuka hilo.
Hauna upeo wowote ni dhiki tu.

swissme
 
View attachment 270372

Chuo cha Birmingham cha Uiingereza, kimetangaza kuwa wana Quran ya iliyoandikwa katika ngozi ya mnyama (parchment) ya wakati wa maisha ya Mtume SAW au miaka michache baada ya kufariki.

Kwa kutumia radiocarbon testing, wamefahamu kuwa Quran Tukufu iliandikwa katika ngozi ya mnyama aliyekuwepo wakati wa uhai wa Mtume SAW na kuandikwa aidha alipokuwa hai au muda mfupi baada ya kifo chake.

David Thomas, Profesa wa dini ya Kiislamu na Kikristo wa Chuo cha Birmingham, alisema kuwa maneno ya Quran waliyoandikwa kwenye ngozi hayana tofauti na Quran ya leo pamoja na Quran iliyo na umri sawa inayohifadhiwa na Bibliotheque Nationale de France huko Paris, Ufaransa.

Profesa huyo akaseka kuwa Quran hii itakuwa imeandikwa baina ya mwaka
AD 568 na AD 645 kwa kutumia utaalam wa "radiocarbon testing" ya Chuo Kikuu cha Oxford na ambao unatoa majibu sahihi ya umri kwa asilimia 95.

Mtume Mohamed SAW alizaliwa mwaka 570, Makka.

source: wsj.com

mtume hakujua kusoma wala kuandika sasa alijuaje kuwa yaliyoandikwa kwenye kuruani ndo alikuwa akisomewa? Ni swali tu.
 
Swalia lako zuri sana kijana, shahidi wa kwanza ni Qur'an yenyewe. imetolewa challenge ndani ya Qur'an kwa kila asiyeiamini na mpaka leo hii, miaka zaidi ya 1,400 hakuna hata mmoja wenu aliyeiweza hiyo challenge, rahisi sana, jaribu bahati yako, ni hii hapa:

Qur'an 17:88. Sema: Wangeli kusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana wao kwa wao.

Kama challenge hiyo ya mwanzo ni ngumu kwako na washirika wako wote na hamuiwezi kuleta hiyo ya mfano wa Qur'an kamili basi mmerahisihiwa kazi, sasa mnapewa challenge mtuletee japo sura kumi tu zinazofanana na Qur'an:

Qur'an 11:13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.

Na kama hizo pia hamuwezi mmepunguziwa tena kazi leteni moja tu, kama mu wa kweli:

Qur.an 2: 23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.

Challenge inaendelea:

Qur'an 10:38. Je! Ndiyo wanasema ameizua? Sema: Hebu leteni sura moja mfano wake na muwaite (kukusaidieni) muwawezao, isipo kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnasema kweli.

Shahidi wa pili ni wewe na binaadam wote duniani, kwani umeshindwa kuleta mfano wake mpaka sasa.

Hapo sasa!

Mungu ndio alikua anasema ivi au mtume??
 
View attachment 270372

Chuo cha Birmingham cha Uiingereza, kimetangaza kuwa wana Quran ya iliyoandikwa katika ngozi ya mnyama (parchment) ya wakati wa maisha ya Mtume SAW au miaka michache baada ya kufariki.

Kwa kutumia radiocarbon testing, wamefahamu kuwa Quran Tukufu iliandikwa katika ngozi ya mnyama aliyekuwepo wakati wa uhai wa Mtume SAW na kuandikwa aidha alipokuwa hai au muda mfupi baada ya kifo chake.

David Thomas, Profesa wa dini ya Kiislamu na Kikristo wa Chuo cha Birmingham, alisema kuwa maneno ya Quran waliyoandikwa kwenye ngozi hayana tofauti na Quran ya leo pamoja na Quran iliyo na umri sawa inayohifadhiwa na Bibliotheque Nationale de France huko Paris, Ufaransa.

Profesa huyo akaseka kuwa Quran hii itakuwa imeandikwa baina ya mwaka
AD 568 na AD 645
kwa kutumia utaalam wa "radiocarbon testing" ya Chuo Kikuu cha Oxford na ambao unatoa majibu sahihi ya umri kwa asilimia 95.

Mtume Mohamed SAW alizaliwa mwaka 570, Makka.

source: wsj.com

kwa hio kuna uwezekano Mtume SAW aliikuta QURAN??
 
I declare mimi ni Muislam na nina heshimu imani za wengine kwa sababu nimefundishwa adabu nyumbani na madrasa....baada ya hayo naweza sema Quruan ilikuwepo tangu siku dunia inaumbwa na ilikuwepo katika Arshi ya Mwenyezimungu.Quruan iliteremshwa toka kwenye Arshi mwezi wa Ramadhani katika usiku uliopewa cheo na kuwekwa katika mbingu ya kwanza.Toka mbigu ya kwanza kuja kwa Mtume SAW..ilikuwa ikiteremshwa na Malaika Jibril AS kidogo kidogo na kwa jinsi alivyokuwa ana amrishwa na Mwenyezimungu.Sura ya kwanza kuteremshwa ilikuwa IQRA yaani hapo Mtume SAW anaambiwa na Mweyezimungu "soma" na alikuwa anahifadhishwa na Jibril AS.wajuzi zaidi yangu watanisahihisha kama kuna sehemu nimekosea..na vitabu vya Mwenyezimungu ni vinne..kuna Taurat,Zaburi,Injili na Quruan na vyote hivyi vinakubalika na Waislamu.
 
Unamaanisha kuwa Qur'an ni kiumbe
 
asante kwa ufafanuzi. Arshi ni nini?
 
Back
Top Bottom