Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,329
Hahahah zipo lukukiBado nasubiri aya ya tawhid.
Hahahah zipo lukukiBado nasubiri aya ya tawhid.
Uislam hauko kwaajili ya kutetewa Bali unajieneza wenyewe nyie komaeni na dini yenu hii n bahar kubwa hamuiwezi Uislam una nguzo zake so MTU kutoka labda awe na tamaa na maslahi ya kidunia binafsi sijaona dini madhubuti isio yumba kama hii
Hahahah zipo lukuki
Surah Al- ikhlasNipe mojawapo kati ya hizo lukuki.
Hahahah zipo lukuki
Sasa nimfuate Yesu Mara ngapi..mbona namfuata tayariNdugu; jaribu kumtafuta Yesu Kristo wa kweli (sio yule wa kubuni kama anavyoelezwa kwenye Qur'an maana Yesu huyo wa Qur'an hajawahi kutokea na HATATOKEA), Yesu Kristo wa Nazareth. Utaujua ukweli nae atakuweka huru.
Surah Al- ikhlas View attachment 984572
Sasa nimfuate Yesu Mara ngapi..mbona namfuata tayari
Usichangawe na kiarabu wew maana ni ile ile Ya Mungu MmojaHamna tamko la tawhid hapo. Wapi pameandikwa kama mnavyotamka leo?
Nipe mafundisho ya Yesu hapa ambayo siyafuatiUnaemfuata ni Yesu bandia
Nipe mafundisho ya Yesu hapa ambayo siyafuati
Wewe mfiaukweli sasa mim Yesu kanifundisha kuomba namna hii sio hivyo kama wewe..wewe hivyo umefundishwa na kanisaUnaemfuata ni Yesu bandia. Mtafute Yesu wa kweli. Fanya hivi: tafuta sehemu yenye utulivu na muombe ajifunue kwako. Hauhitaji kusema kwa sauti au maneno mengi; bali tumia maneno yeyote utakayoweza na muombe kwa kumaanisha - sio kwa mzaha - ajifunue kwako. Utauona ukweli utakaokushangaza na HAKUNA kitakachokupa mashaka hata chembe. Na haitakugharimu kitu kwa mantiki hiyo hutakuwa na cha kupoteza kwa kufanya hiki ninachokuambia.
Mzee unasumbuka bure tu hata kitu kikiwa wazi vipi, kuna watu watapata tu hoja hata isiyo na maantiki ili kubisha tuHujaelewa japo Umesoma nilichoandika. Nimesema Waislam WAMELAZIMISHWA kuwa na Mikataba kweny Makubaliano yao.Hao Warumi hawakuwahi kuwa na Amri ya aina hiyo, hayo mengine ya kushushwa na kufunuliwa ni tofauti ya lugha kwenye kiswahili pengine tungekuwa tunafanya Mjadala kwa kichaga au kinyakyusa pengine isingekuwa hoja