gilaibomba
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 352
- 92
Unamaanisha kuwa Qur'an ni kiumbe
Ni maneno ya Mweyezimungu kama vile katika Taurat ya Nabii Mussa AS....,Injili ya Nabii Issa AS na Zaburi ya Nabii Daud AS
Unamaanisha kuwa Qur'an ni kiumbe
asante kwa ufafanuzi. Arshi ni nini?
Uzi huu si wa kutaka ligi ya udini.
Kila mwenye akili timamu anafahamu historia ya dini yake.
Lengo la uzi huu ni kuelimishana siyo kukashifu dini yoyote.
Qur an Ilishushwa kwa njia ya Wahyi. Then ikaandikwa, ni sawa na kwny Vikao Ukioneshwa Minutes za vikao kuhusu alichosema au kuagiza kiongozi ubishe kuwa si kweli kwa huo sio Muandiko wake. Qur an Ilishushwa kupitia kwa Mtume Muhammad then akaagiza iandikwe ili iwe rahisi kufikishwa kwa watu. UISLAM unathamini sana Maandishi ndio maana tunalazimishwa kwenye Qur an kuwa Makubaliano yoyote yawe kwenye Maandishi na awepo Shahidi, Fikiria hilo agizo lipo tangu karne ya Saba kabla hata hizo sheria za kilimwengu hazijang'amua hili.
hapo ndio na wakubali wazungu wanawajulia sana aisee. mnavimbisha kichwa wakati wenzenu wana yao. kutoa hiyo kitu leo. kuna mmoja huko Australia katoa maji kwenye chupa kaandika Muhammad ndio mtume cjui mara mshikaji yeye anawapiga hela tu kama mazuzu vile. eti Qur'an ya zaman imegundulika Uingereza. mi nikafikir huko mashariki ya Kati kumbe Uingereza? kweli wajinga ndio waliwao.

unamzungumzia karne ya saba? ushawah kusoma wagiriki wa kale maisha Yao wewe.

Zuzu ni yule anae Comment asichojua, wapi imendikwa Qur an ya kale imegundulika Uingereza? Hicho kipande cha kale kilichukuliwa middle East 1923 na wao wenyewe ndio waliamua kufanya uchunguzi kuwafahamisha nyie msioamini, Kwani Muislam kabla ya huo utafiti alikuwa haamini kuwa Karne ya Saba Qur an ilikuwepo? Utafiti moja ya malengo yake ni kuthibitisha so uthibitisho ndo huo umetolewa na asie Muslim kazi kwenu nyie mkitaka muamini msipotaka muendelee na yenu.
Zinakutosha kweli?Kumbe haikushushwa?
Ila Qur'an ni tamu jamani hasa ukijuwa kuisoma vizuri hata kuisikiliza pia kama unaelewa ni raha sanaa.
Huyo unae muita proffesor msomi, mkristo aliyefanya utafiti, aliumbwa na nani?Zuzu ni yule anae Comment asichojua, wapi imendikwa Qur an ya kale imegundulika Uingereza? Hicho kipande cha kale kilichukuliwa middle East 1923 na wao wenyewe ndio waliamua kufanya uchunguzi kuwafahamisha nyie msioamini, Kwani Muislam kabla ya huo utafiti alikuwa haamini kuwa Karne ya Saba Qur an ilikuwepo? Utafiti moja ya malengo yake ni kuthibitisha so uthibitisho ndo huo umetolewa na asie Muslim kazi kwenu nyie mkitaka muamini msipotaka muendelee na yenu.
ilishushwa kupitia malaika JIBREER, hadi kwa MTUMWE MUHAMMAD (SAW), naye aliwafundisha maswahaba zake (wanafunzi) , waulize wenye kujua iwapo wewe hujui ili wakuelimishe.Kumbe haikushushwa?
Wacha kashfaWrite your reply...Mimi naamini hiki kitabu kilishushwa na subiani au makata lakini sio jibril!!
Hawezi kuelewa ambae hajuiIla Qur'an ni tamu jamani hasa ukijuwa kuisoma vizuri hata kuisikiliza pia kama unaelewa ni raha sanaa.
View attachment 270372
Chuo cha Birmingham cha Uiingereza, kimetangaza kuwa wana Quran ya iliyoandikwa katika ngozi ya mnyama (parchment) ya wakati wa maisha ya Mtume SAW au miaka michache baada ya kufariki.
Kwa kutumia radiocarbon testing, wamefahamu kuwa Quran Tukufu iliandikwa katika ngozi ya mnyama aliyekuwepo wakati wa uhai wa Mtume SAW na kuandikwa aidha alipokuwa hai au muda mfupi baada ya kifo chake.
David Thomas, Profesa wa dini ya Kiislamu na Kikristo wa Chuo cha Birmingham, alisema kuwa maneno ya Quran waliyoandikwa kwenye ngozi hayana tofauti na Quran ya leo pamoja na Quran iliyo na umri sawa inayohifadhiwa na Bibliotheque Nationale de France huko Paris, Ufaransa.
Profesa huyo akaseka kuwa Quran hii itakuwa imeandikwa baina ya mwaka
AD 568 na AD 645 kwa kutumia utaalam wa "radiocarbon testing" ya Chuo Kikuu cha Oxford na ambao unatoa majibu sahihi ya umri kwa asilimia 95.
Mtume Mohamed SAW alizaliwa mwaka 570, Makka.
source: wsj.com