Quran ya wakati wa Mtume SAW

Quran ya wakati wa Mtume SAW

Write your reply...Mimi naamini hiki kitabu kilishushwa na subiani au makata lakini sio jibril!!
Kwanin wakristo wanatuattack kila nyuzi ya kiislam inapoanzishwa lakini sisi hua hatufanyi hivyo kwani shida ni nini?

Juzi Gwajima nae karupuka tena kanisani

Humu nako kila siku Uzi, Mara matope Mara nini mjitafakari nyie mnaojiita WAKRISTO Yesu Hakua na Tabia za kijinga kama zenu Upumbafu ulio kithiri.

Yesu alikua na busara pia akili subra na utulivu wa hali ya juu mtenda haki lakini nikiangalia Wanaojiita WAKRISTO hakuna hata mmoja mwenye sifa za au anaefuata mafundisho ya Yesu nyinyi makanisa yanawapoteza msikubali kupelekeshwa na makanisa wew fuata Yesu alichohubiri.

Huu uislam n complex matter kwenu hamtakaa muelewe chamsingi kueni na adabu kama sisi tunavyowaheshimu na hatuanzishi nyuzi au kuwaingilia na kuanza kuichafua ukristo

Wew unaelimu kumshinda Hutu anaesujudu

tapatalk_1546196747844.jpeg
 
Kuna versions za Qur'an zilizochomwa na Umar. Ndio maana version inayotumika na Waislamu leo haina aya za Aisha [mke mdogo wa Mohammed aliemuoa (Aisha) akiwa na umri wa miaka 6 na akamuingilia akiwa na miaka 9] inayoongelea habari ya kondoo kutafuna aya ya Qur'an inayoagiza mwanamke kumnyonyesha mwanaume mara 10 ili kuzuia wasifanye mapenzi.

(Sahih al-Bukhari, 6:61:510] When the task was finished Uthman kept one copy in Medina and sent others to Kufa, Baṣra, Damascus, and, according to some accounts, Mecca, and ordered that all other variant copies of the Quran to be destroyed.)
Nitajie mke mwingine wa Mtume alieandikwa kwenye Quran unadhani kitabu kile kinaandika wanawake ovyo ovyo

Halafu hio ya kuoa miaka 6 anzisha Uzi nije kuhibitishie alikua n kigoli wa miaka takriban 19 au 20 na mtume alipewa na Rafiki yake Abubakr(R.A) utakataje zawadi na ilihali alikua kafiwa na mkewe?
 
Nyie Uislam ni Complex issue kwenu yaan tosha unielewe huuwezi hata kidogo achana nao kabisa utakua ni mwenye busara ila ukikomaa mwanangu poa mi ntakuangaliaa tuu na kukupuuza
 
Uisalm njia iliyotumiwa na waarabu
Ukristu njia iliyotumiwa na wazungu
Hii yote kwa maslai yao binafsi, hakuna walio sahihi apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna versions za Qur'an zilizochomwa na Umar. Ndio maana version inayotumika na Waislamu leo haina aya za Aisha [mke mdogo wa Mohammed aliemuoa (Aisha) akiwa na umri wa miaka 6 na akamuingilia akiwa na miaka 9] inayoongelea habari ya kondoo kutafuna aya ya Qur'an inayoagiza mwanamke kumnyonyesha mwanaume mara 10 ili kuzuia wasifanye mapenzi.

(Sahih al-Bukhari, 6:61:510] When the task was finished Uthman kept one copy in Medina and sent others to Kufa, Baṣra, Damascus, and, according to some accounts, Mecca, and ordered that all other variant copies of the Quran to be destroyed.)
Mkuu, mimi si mtaalamu wa dini. Siifahamu hii issue ya Quran versions.

Ninavyofahamu mimi ni kuwa hamna version nyingine ila issue ya Mtume kuoa wake wadogo na kuwa na wake 13 naifahamu na tumefundishwa madrassa. Na mpaka leo Uarabuni, wake mara nyingi huwa wadogo kuliko waume zao, pengine ni utamaduni wao. Hali hii pia nimeikuta Tanzania na Kenya, hasa kizazi cha wazaliwa wa 1940's - 1950's.

Wataalamu wa dini ya Kiislamu wataeleza zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie mke mwingine wa Mtume alieandikwa kwenye Quran unadhani kitabu kile kinaandika wanawake ovyo ovyo

Halafu hio ya kuoa miaka 6 anzisha Uzi nije kuhibitishie alikua n kigoli wa miaka takriban 19 au 20 na mtume alipewa na Rafiki yake Abubakr(R.A) utakataje zawadi na ilihali alikua kafiwa na mkewe?

Msingi wa uislamu ni UONGO. Mliweza enzi zile kupotosha watu lakini sio ulimwengu huu wa leo. Ninajua ninachoandika hapa. Mohammed alikuwa na wake angalau 13 (akiwemo Zainabu mke alietalikiwa na Zaid mtoto wake aliemu-adopt).

Soma hapa
The wives of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), the Mothers of the Believers (may Allaah be pleased with them) - Islam Question & Answer

Na hapa (maelezo ya Aisha mwenyewe)
Narrated Hisham's father: Khadija died three years before the Prophet departed to Medina. He stayed there for two years or so and then he married 'Aisha when she was a girl of six years of age, and he consumed that marriage when she was nine years old. (Sahih Buhari 5:58:236)

Na habari za umri wa Aisha wakati "anaolewa" na Mohammed soma hapa:

Narrated 'Aisha: that the Prophet married her when she was six years old and he consummated his marriage when she was nine years old, and then she remained with him for nine years (i.e., till his death). (Sahih Buhari 7: 62:65).
 
Sasa hizo si Hadithi tuu na zimetungwa miaka 300 baada ya Mtume kufa? Leta Aya inayoisapoti hio hadithi kutaka ktka kitabu kitakatifu Quran...
 
Nyie Uislam ni Complex issue kwenu yaan tosha unielewe huuwezi hata kidogo achana nao kabisa utakua ni mwenye busara ila ukikomaa mwanangu poa mi ntakuangaliaa tuu na kukupuuza

Ni ngumu kuutetea uislamu kwa mtu aliesoma Qur'an na Hadithi halafu akatumia akili yake kutafuta ukweli (akilinganisha na references zilizopo). Kumbuka kuwa kuna maandishi ambayo waandishi wake waliishi miaka 600 kabla ya Yesu Kristo wa Nazareth (wakati Muhammad alishi miaka 600 + baada ya Yesu Kristo).
Ninakuhakikishia; HAKUNA mtu mwenye akili timamu atakae soma Qur'an na Hadithi kikamilifu halafu abaki kuwa Muislamu.
 
Hiyo Quran waliokuwa nayo hao wazungu inatakiwa iteketezwe kwa moto wasije wakaongeza mambo yao wakaisambaza yakatokea km ya bibilia wazu sio wa kuwaamini hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hizo si Hadithi tuu na zimetungwa miaka 300 baada ya Mtume kufa? Leta Aya inayoisapoti hio hadithi kutaka ktka kitabu kitakatifu Quran...

Kuna Muislamu anaesoma Qur'an pekee? Mbona tawhid nayo haipo kwenye Qur'an? Mliipata wapi?
 
Dini yetu huijui wewe tafadhali kaa kimya. Unajua maaana ya Tawhid? Je haipo katika Quran ingia walau gugo ikufichie aibu zako...

Tunasoma pia hadithi ila kama hadithi haina pacha wake katika source kuu ambayo ni Quran hio ni uongo tuuu
 
Leta aya ya Qur'an yenye tawhid hapa.
 
Ni ngumu kuutetea uislamu kwa mtu aliesoma Qur'an na Hadithi halafu akatumia akili yake kutafuta ukweli (akilinganisha na references zilizopo). Kumbuka kuwa kuna maandishi ambayo waandishi wake waliishi miaka 600 kabla ya Yesu Kristo wa Nazareth (wakati Muhammad alishi miaka 600 + baada ya Yesu Kristo).
Ninakuhakikishia; HAKUNA mtu mwenye akili timamu atakae soma Qur'an na Hadithi kikamilifu halafu abaki kuwa Muislamu.
Uislam hauko kwaajili ya kutetewa Bali unajieneza wenyewe nyie komaeni na dini yenu hii n bahar kubwa hamuiwezi Uislam una nguzo zake so MTU kutoka labda awe na tamaa na maslahi ya kidunia binafsi sijaona dini madhubuti isio yumba kama hii
 
Kwanin wakristo wanatuattack kila nyuzi ya kiislam inapoanzishwa lakini sisi hua hatufanyi hivyo kwani shida ni nini?

Juzi Gwajima nae karupuka tena kanisani

Humu nako kila siku Uzi, Mara matope Mara nini mjitafakari nyie mnaojiita WAKRISTO Yesu Hakua na Tabia za kijinga kama zenu Upumbafu ulio kithiri.

Yesu alikua na busara pia akili subra na utulivu wa hali ya juu mtenda haki lakini nikiangalia Wanaojiita WAKRISTO hakuna hata mmoja mwenye sifa za au anaefuata mafundisho ya Yesu nyinyi makanisa yanawapoteza msikubali kupelekeshwa na makanisa wew fuata Yesu alichohubiri.

Huu uislam n complex matter kwenu hamtakaa muelewe chamsingi kueni na adabu kama sisi tunavyowaheshimu na hatuanzishi nyuzi au kuwaingilia na kuanza kuichafua ukristo

Wew unaelimu kumshinda Hutu anaesujudu

View attachment 984474

Hakuna Mkristo anae-attack uislamu. Unachoona ni attacks kinatokana na madai yenu wenyewe kuwa uislamu ndio dini pekee sahihi. Tunachofanya ni kuwathibitishia kuwa mnachokiamini nyie sio kweli.
Na mlianza wenyewe na mihadhara yenu mkatufanya wengine tuamue kusoma vitabu vyenu.

Kama kuna watu wanaolazimisha watu watafute ukweli kuhusu Yesu Kristo wa Nazareth basi ni Waislamu.
 
Sisi tuna amnin ndio dini sahihi kwasababu kitabu ndio dini yetu ina sema hivyo

Qur'an 3:85 dini yetu
Screenshot_20190103-103918.jpeg
 
Back
Top Bottom