Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Sheikh mbona unatoa somo kidogo kidogo, funguka. Nimependa analysis yako. Unajua suala hilo la dini ni nyeti lataka wachambuzi kama wewe. Wengine wana hamaki, jazba na matusi. Hapana. Tuelemishane kwa utulivu. Elimu hiyo ijenge misingi ya amani baina Yetu. Amani, Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi hujaelewa.

Nitakueleza kadri ya uwezo wangu.

Masuala ya dini siwezi chukia kabisa.

I have respect for all religions
 
Mlikua masikini sana wala msijisifu. Hamkua na uwezo huo mlionao leo.
Ili iwe vita ya dunia lazima uwe na uwezo WA kutawala dunia. Kwani elimu mlikua nayo basi ?

Mpaka Leo Taifa LA kiarabu lenye walioeleimika ulimwenguni ni Egypt peke yake. Just imagine....Pesa bila akili ni Pesa basi?

Utajiri wenyewe ni "mafuta oriented".
Kuna kiwanda cha maana?



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ushoga mnawakataa wazungu.
 
Labda nikupe mfano:-Kule Ufaransa waliuwawa wayahudi wawili wakina Charles Hebdo kwa madai kua wanauchafua Uislamu kwa kuchora katuni. Ajabu waislamu waliandamana duniani kote baada ya mauaji haya hadi Libya na Morocco kuilaani USA hata kuvamia ubalozi wa USA na sio Ufaransa. Mpaka mama Hilary akalazimika kuwatuliza.
Hatujasikia wakiandamana kuipinga ISIS, bokoharam, alshabaabu.
Sanasana wanaisifia ISIS.
Unaichukuliaje hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu rudia tena..kwamba waislamu wa duniani kote waliandamana?
 
Ushoga, kamari, uasherati, ulevi...... ni vitendo vinavyofanywa na waumini wa karibu dini zote duniani. Si sehemu ya msimamo wa dini. Lakini unaposhika kitabu kitakatifu na kutamka mungu mkubwa huku unaua, huo ni msimamo wa dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa umeeleza vizuri,mi nashangaa mtu anakataa ndoa za jinsia moja sio msimamo wa ukristo wakati anaona kabisa ndoa zinafungwa kanisani tu na kwa kikristo.

Shoga anaweza kuwa dini yeyote ila ni ukristo tu ndio imani yenye kufungisha ndoa zao.
 
Anayefahamu chimbuko la neno kufira atuchambulie. Iko dini yenye asili hii ikaambukiza nyingine. Kiongozi wao mkuu alimwoa mke wa mwanae (mkamwana) nabado anapewa hadhi ya utume. Baba anamwoa mke w mwanae bado tumwite kiongozi wa kiroho??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiua kwa kupigania dini unapata haki ya bikra 72 kule juu mbinguni mara baada ya kifo chako kwa wale wafia dini kama hao vijana wa makundi ya kiharamia jamii ya bokoharamu

Huko mbinguni kuna mito ya pombe za kila aina, hivyo vilivyo haramu huku duniani mbinguni ni halali kabisa hii ni kwa mujibu ya Qur'an kitabu kitakatifu
Boko haram wao wameamua kujichukulia bikra 200 toka shuleni, wameburudika nazo kisha wamerejesha
 
Boko haram wao wameamua kujichukulia bikra 200 toka shuleni, wameburudika nazo kisha wamerejesha

"…Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe"
Hesabu 31:17-18
 
Huko kwa Biblia kuna USHOGA, KAMARI, UESHARATI, ULEVI ....mbona haya huyasemi?
Usiseme ivo ndugu

Mbona nyie kuna kifungu kinasema (wanawake ni mashamba yenu watumieni mnavotaka). Bas kwa mstari huo watu ndo wanawatigo wake zao
 
Huko kwa Biblia kuna USHOGA, KAMARI, UESHARATI, ULEVI ....mbona haya huyasemi?
Biblia haijawahi kubariki Ushoga!kamari wala Uasherati!
lakini Quran Tukufu inafundisha Ugomvi Kisasi na Ubakaji! Na kila Muumin wa dini fulani hufuata matendo makuu ya Mwanzilishi wa Imani yake.
 
Wapendwa mwanajf, nawasalimia kwa heshima zote!

Wote tuliopo hai duniani leo hii Dini zote tulizikuta zipo baadaye tukaaminishwa na kuamini tulichoambiwa!

Thread hii haitafuti dini IPI bora wala dhehebu lipi bora kuliko jingine.
Quran ni maandiko matakatifu katika imani za kiislam ambacho kuna machache ya yaliyomo katika Agano la kale ndani ya bibilia yamo pia katika quran.

Quran imeandikwa vizuri tu lakini lugha iliyotumika huenda haieleweki kwa wasomaji wengi ndio maana waislam walio wengi ni wepesi sana kushawishika hata kutenda maovu ambayo hata kitabu cha quran hakijayagusia hata chembe.

Jambo hili limekuwa nikinifanye ni waze sana kila mara kwa nini waislam wengi hushawishika kirahisi kutenda maovu hata mara tu wakitoka nje ya jengo la Ibaada?

Kwa nini makundi ya kiharifu yamejaza vijana wengi wa kiislam?
Kwa nini Boko haram hutembea na quran huku wakiendesha mauji holela?
Kwanini kundi la alshabab, Islamic state, alqaida, Abboosafayy, Alnusrrah nk wote hutembea na quran huku wakiendesha mauaji ya holela?
Kitu gani huwafanya waislam watofautiane na kitabu kitakatifu hicho cha Quran?

Tupia jicho mataifa yote ya kiislam utakuta mengi yana vurugu nyingi lakini Quran IPO na husomwa kila Siku.

Je quran imeelekeza kutopenda amani? Au viongozi walioenda masomo zaidi ya kuifahamu Quran ndio wapotoshaji wakubwa kwa waumini waumini wao?
Karibuni tuelimishane vizuri kwa kuepuka lugha chafu ili tusimkosee Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
UNMASKING.PNG
 
Ukiua kwa kupigania dini unapata haki ya bikra 72 kule juu mbinguni mara baada ya kifo chako kwa wale wafia dini kama hao vijana wa makundi ya kiharamia jamii ya bokoharamu

Huko mbinguni kuna mito ya pombe za kila aina, hivyo vilivyo haramu huku duniani mbinguni ni halali kabisa hii ni kwa mujibu ya Qur'an kitabu kitakatifu
Nipe fungu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"…Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe"
Hesabu 31:17-18


Duuuh ngoja nikajisomee mwenyewe hili andiko
 
"…Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe"
Hesabu 31:17-18
Acha kupotosha watu wewe! Hilo andiko lilitoka kwa kipindi maalum kwa vita maalum na hicho ni kipande tu ulichokinukuu.
 
Inamaana hawa waumini wa kikristo wanaotapeliwa na hawa manabii wa uongo ndiyo tuseme pia biblia imeandikwa lugha isiyoheleweka kiasi cha wakristo kushindwa kuelewa na kujikuta wakiwafuata manabii wa uongo na kutapeliwa?

Halafu mbona Qur'an imetafsriwa hadi kwa kiswahili.
bora kutapeliwa kuliko, kufanya uasi, kumwaga damu, kubaka, na maovu kedekede kama hayo..!
 
Back
Top Bottom