Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Ok hembu tafakari vmchukua nchi moja y kiarabu mfano syria kwa harakaharaka unadhani kuna majeshi mangapi kutoka nchi z kigeni........Halafu kitu kingine huwezi kulazimisha DEMOCRACY kwny nchi z kiarabu nakumbua nukuu moja y papa fransis aliyosema kwamba mataifa y kizungu yaangalie uhalisia wa mataifa husika kabla y kuingiza DEMOCRACY
Bin Laden mwenyewe he was filthy rich, tusipuuze kua yapo mataifa ya kiarabu matajiri sana kuliko hao members wa G7. And Qatar is no exception.

Kule arabuni, umoja wa waarabu ulimtaja Qatar kua ndie perpetrator mkuu wa kupalilia ugaidi pale middle East.

Misri nao wakamtolea uvivu Qatar kua ndiye mlezi wa ugaidi. Wangeweza kusema Iran au hata USA au majeshi ya kigeni ama nchi za magharibi.

Tangu waarabu wapate nguvu za kiuchumi duniani kwa hayo mafuta wanayochimba, Ndio fujo hazihishi ulimwenguni. Maarufu kama Arab spring/Arab uprising.

Majeshi ya kigeni sio Militia. Yako pale kulinda their interests.

Tukija case ya hapa Tanzania. Kule Rufiji na kibiti..MKIRU).

Baada ya Prime Minister kuongea na viongozi WA Dini. Aliwataka wachunguze mafundisho yanayofundishwa vijana na watoto wao na elimu ya waalimu wa hivyo vyuo wameipatia wapi.
baadaye mengi sana yaliibuliwa. Kuna vyuo vya ugaidi viko misituni vilichomwa moto kule Manyara, Tanga nk. Kwasababu waislamu wenyewe waliamua kusimama kupambana na hao Barbarians.

Hoja ya demokrasia inakosa mashiko kwasababu hakuna mtu asiyeona kitu kizuri akakikataa. Iweje hao wazungu ambao ustawi wao umetokana na ku-lobby haki za watoto, Binadamu, wahamasishe mauaji hayo?

Zipo picha zinaonyeshwa jinsi watoto wadogo wanavyochinjwa kinyama kwa kukatwa shingo na ISIS, na mwisho hawasemi wanapingana na demokrasia Bali wanaeneza gospel* duniani.
Boko haramu wao wanapingana na Elimu. Their reasons are so absurd.

Hoja za Papa Francis ziliegemea porojo za Obama. Nani hajui kanisa katoliki halielewani na USA.Washington INA malengo ya kuutokomeza ukatoliki duniani. Ni obama pekee aliweka rekodi pale alipomruhusu Papa kuzungumza na seneti.Obama alikua mvumilivu akiamini majadiliano kama suluhisho. Lakini Trump alipokwenda Arabuni alinyoosha maelezo. Ndipo Qatar ikavuliwa nguo zote.

Ukitaka kunielewa vyema, tizama maagizo ya waziri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALLAH WA Waislamu ANAMAADUI AMBAO NI WAKRISTO NA WAYAHUDI Allah wao ana maadui wake ambao ni Wakristo na Wayahudi
Quran. 4:51 na 57 (surat Al Maida)
Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika hao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Ndiyo maana muislamu aliyesoma sana dini anakuwa na chuki na Wakristo au anakuwa mchawi
Mungu wao wa ajabu sana yaani ni mbaguzi na mkatili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USIHUUKUMU UISLAM KWA MATENDO YA WAISLAM.
UISLAM NI DINI ILIYO KAMILIKA.ILA WAISLAM HAWAJAKAMILIKA NDO MAANA KUNA MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA.
PEPO NA MOTO.
UISLAM SIO JINA ETI KISA NAITWA JUMA BASI NITAKWENDA PEPONI.ILA NI KWELI WAISLAM TUMEACHA MAFUNDISHO YA QURAN.TUKUMBUSHANE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashallah
 
USIHUUKUMU UISLAM KWA MATENDO YA WAISLAM.
UISLAM NI DINI ILIYO KAMILIKA.ILA WAISLAM HAWAJAKAMILIKA NDO MAANA KUNA MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA.
PEPO NA MOTO.
UISLAM SIO JINA ETI KISA NAITWA JUMA BASI NITAKWENDA PEPONI.ILA NI KWELI WAISLAM TUMEACHA MAFUNDISHO YA QURAN.TUKUMBUSHANE.

Sent using Jamii Forums mobile app
At least wewe huwa nakuelewa kuwa ni Muislam mwenye uelewa mkubwa.

Hawa wengine wanaojifanya wapo radical ndio hovyo kabisa.

Mtu ameuliza kwanini Magaidi wote maarufu hutumia QURAN (kitabu kitakatifu) kuua watu?

Wao wanashindwa kujitetea...wanabwabwaja tu.
 
Unajua waislamu wana makundi yapatayo 72 kifupi (madhehebu) kwahiyo mtume ( s.a.w)/alisema kakika makundi hayo yote ni moja tu ndilo la ukweli ndio litakaloingia peponi kwahiyo kila mmoja yeye ndio mkweli mauaji hayataisha kwasababu hakuna wa kumfuata mwenziwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbee...!
 
Inamaana hawa waumini wa kikristo wanaotapeliwa na hawa manabii wa uongo ndiyo tuseme pia biblia imeandikwa lugha isiyoheleweka kiasi cha wakristo kushindwa kuelewa na kujikuta wakiwafuata manabii wa uongo na kutapeliwa?

Halafu mbona Qur'an imetafsriwa hadi kwa kiswahili.
Mkuu...matapeli wapo hata katika Uislam

Mfano:- kuna akina Sheikh Shar
if Majini, Utadh juma Othman wa Sinza kwa Remy na wanatumia QUR'AN na naamini wapo wengine.

Kinachoshangaza TU ni pale ambapo mtu au watu wanatumia Kitabu wanachoamini ni kitakatifu KUUA WATU WASIO NA HATIA AU AMBAO HAWAJAWAKOSEA CHOCHOTE.

Refer: Alshabaab walivyowaua wale wanafunzi kule Kenya bila hata kuwa na hatia yoyote.

Hao wauaji nao wataiona pepo?

 
Umewaza vizuri sanaaa unahitaji pongezi ila jiulize mambo yafuatayo unadhani vurugu zote zinazoendelea ndani ya mataifa y kiislam husababishwa na nani bila shaka ni mataifa yenye nguvu duniani Eg G7.........Nia yao kubwa ni kuzuia waislam wasijitawale vilevile nia yao nyingine ni kuyateka mafuta ambayo huzalishwa sana katika chi z kiarab
Hayo mataifa ya G7 ndio yanayowaambia mkienda kuuwa muwe mnabeba QUR'AN?
 
Mkuu...matapeli wapo hata katika Uislam

Mfano:- kuna akina Sheikh Shar
if Majini, Utadh juma Othman wa Sinza kwa Remy na wanatumia QUR'AN na naamini wapo wengine.

Kinachoshangaza TU ni pale ambapo mtu au watu wanatumia Kitabu wanachoamini ni kitakatifu KUUA WATU WASIO NA HATIA AU AMBAO HAWAJAWAKOSEA CHOCHOTE.

Refer: Alshabaab walivyowaua wale wanafunzi kule Kenya bila hata kuwa na hatia yoyote.

Hao wauaji nao wataiona pepo?

Ndiyo uelewe kuwa mtu anaweza kufanya lolote kwa kutumia chochote,hili suala la magaidi lishaelezwa sana kuwa wanachokifanya ni kinyume na Qur'an inavyoeleza lakini bado watu wanaendelea kusema kuwa Qur'an ndiyo inafundisha ugaidi na kwamba et kwa kufanya hivyo wataenda kupata wanawake huko peponi.

Sasa ishakuwa inachosha kurudia kusema kuwa uislamu sio ugaidi kwa mtu kwa watu ambao wameshaamua kuamini hivyo.
 
Hayo mataifa ya G7 ndio yanayowaambia mkienda kuuwa muwe mnabeba QUR'AN?
Sasa mkuu mtu akienda kufanya uhalifu huku kabeba Qur'an ndiyo nini sasa?

Au ukimuona mtu anafanya uhalifu huku kabeba Biblia ndiyo nini?
 
At least wewe huwa nakuelewa kuwa ni Muislam mwenye uelewa mkubwa.

Hawa wengine wanaojifanya wapo radical ndio hovyo kabisa.

Mtu ameuliza kwanini Magaidi wote maarufu hutumia QURAN (kitabu kitakatifu) kuua watu?

Wao wanashindwa kujitetea...wanabwabwaja tu.
Isis wana mfata yesu.
210853ebb85ff0a59e0f7565bc618f88.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Soma aya ya 34.
 
USHOGA na ULAJI TIGO ZA WANAWAKE vilianzia uarabuni kwa Waislam. Ndio maana wanawake wengi kule wana bikira za ukeni mwao ila walishaharibiwa sehemu ya kutoa haja kubwa...hii tabia waliileta mpaka pwani ya Afrika mashariki ndio maana wanahusudu Ufiraji.

UBAKAJI - Aliufanya Muhammad kwa kumbaka mtoto wa miaka 9 aitwaye AISHA na kumfanya kuwa mke wa 13.

UUAJI - Aliasisi Muhammad kwasababu aliutangaza uislam kwa njia ya Upanga. Muhammad alifariki akiwa chongo jicho moja.

Bokoharam, ISIS, Alshabaab na vikundi vingine vyooote vya kigaidi vinatumia QUR'AN kuua watu.


Waislam kuwaua Wakristo kikwao sio DHAMBI ila watapata THAWABU.
Kwahapo ulipoongelea uwarabuni hukoo kwa waarabu tu wapo kama wew hujuii ulisemaloo wew unajuwa adhabu ya kuingiliana kinyume na maumbile.serikali.tu haitakii sasa sikwambii huoo uislamu.
 
Quraan ndio Uislam .

Uarabu ni jamii na sio Uislam

Kiarabu ni lugha sio Uislam

Kuna watu walihusisha biashara ya utumwa na Uislam...kwa sababu waliokua wanafanya ni waarabu.
Hii si sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wew nawe fikra zako sifurii au unavutaa bangii www ...mbona unakuwa kama sio msomii hivii humu JF mushawaleta wale wehuu FB au ??? kwani ukichukua bible ukienda kuuwa ushakuwa mkristoo hizoo.ni propagandas tu wew

Sent using Jamii Forums mobile app
Hacha kutoa povu...kwa kifupi ni kwamba quran ina vifungu vinavyohalarisha haya matendo ambayo wengine wanayatafsiri kama uovu na ukitaka nitakuorodheshea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza vizuri sanaaa unahitaji pongezi ila jiulize mambo yafuatayo unadhani vurugu zote zinazoendelea ndani ya mataifa y kiislam husababishwa na nani bila shaka ni mataifa yenye nguvu duniani Eg G7.........Nia yao kubwa ni kuzuia waislam wasijitawale vilevile nia yao nyingine ni kuyateka mafuta ambayo huzalishwa sana katika chi z kiarab
Waislam wenyewe nao ni wajinga kukubali kugawiwa kwa vitofauti vidogo na baadhi kulipwa na wazungu kufanya ugaidi.
 
Back
Top Bottom