Miongoni mwa miujiza ya Qur'an
Acha uongo wa kipumbavu Quran haina muujiza wowote hata Mtume wenu aliambiwa amezuiliwa miujiza wowote ule.. so ukikazia ni muujiza unakuwa unabishana na Allah ili aonekane hana akili. Quran 17:59
We refrain from sending signs (miracles) only because the men of former generations treated them as false.
Aya za Koran kila moja ikitamkwa basi direct inapingana na aya yingine kitabu chote. soma hiyo aya eti watu wa kale hawakuamini miujiza wakati ni uongo watu waliamini miujuza yote ya Yesu,Daniel,Musa n.k Uislam ni uongo na bila uongo Uislam unadedi faster.
na kwamba ni kitabu chenye muongozo kwa wanadamu wote ni kule kutoonewa haya waarabu ambao kitabu hicho kimeteremshwa kwa lugha yao.
Quran hakina wa kumuongoza labda waarabu pekee.. na Ushahidi ni Quran yenyewe..
Aya ya Quran 14:4
Wa maaa arsalnaa mir Rasoolin illaa bilisaani qawmihee liyubaiyina lahum fa yudillul laahu mai yashaaa’u wa yahdee mai yashaaa’; wa Huwal ‘Azeezul Hakeem
Na hatukumtuma Mtume ila kwa lugha ya watu wake ili awabainishie, na Allah humpoteza amtakaye na humwongoa amtakaye. Naye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Tizama aya imejaa ujinga mtupu, Eti anamuongoza amtakaye na anampoteza amtakaye hapo hapo anajidai eti ana hekima? hahaha Hekima au upumbavu huo sasa yaani umpoteze mtu bila sababu??
Kuonesha kuwa ni maneno ya Allah aliyeumba ulimwengu
Ulimwengu hauwezi kuumbwa na Mjinga... Ukitizama aya za Uumbaji utacheka ufe, Allah hajui alianza kuumba nini Aya zingine aliumba kwanza Dunia kisha Mbingu,na Zingine Star,Milima,Maji utacheka hadi Adam aliumbwa Mbinguni wakati kuna aya inasema Aliumba kila kitu Duniani kisha akapaa kuumba Mbingu au anasema aliumba Dunia Saba na Anga saba.. sasa sayari zingine kaziumba nani? ndio ujue Allah ni Liongo ambalo Mudy alijibebesha tu kulipa sifa unknow Goddess hata Musa hajawahi sikia kitu kinaitwa Allah .. Musa alideal na Yahweh.
wote basi hata Mtume Muhammad rehma ziwe juu yake haikumoenea haya wala haikumpa fursa akaingiza lolote la kwake.Mfano maarrufu ni pale siku moja alipokuwa ameshughulika na kuwalingania matajiri na watu maarufu wa Makka ili waingie kwenye Uislamu.Muda huo huo akatokea maskini mmoja ambaye ni kipofu akaomba naye afahamishwe jambo.Mtume akakunja uso kuona anamkera katika muda muhimu wa kuzungumza na watukufu wa Makka.Sura nzima ikashuka kumkemea kwa kitendo chake hicho.Sura hiyo akaendelea kuisoma na alipokufa imebaki hivyo hivyo.
Quran ilimuonya kuwa akiingiza kitu chake atakatwa mshipa mkuu wa Moyo Aotra na ndio ilivyotokea baada ya kuingiza vyake alilishwa Nyama yenye sumu na mwanamke Myahudi aliyewaua muwe na watoto wake kisasi akampa nyama kwa ulafi wa nyama.. Akawa analalamika nasikia mshipa wangu wa moyo unakatika kwa ile nyama niliyokula kule khaibar:- Sahih al-Bukhari 4428 - Book 64, Hadith 450
Narrated `Aisha:
The Prophet (ﷺ) in his ailment in which he died, used to say, "O `Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."
Mwanamke aliyetajwa ni mmbora ni mama yake Yesu as na wala mama yake mwenyewe wala mtoto wake wa kike kipenzi wala mke wake yeyote yule.
Kama ni mmbora Mwanae msinge muita Essa jina ambalo arabuni lilijulikana kama Punda alafu aya ya kumzaa Yenu mmemchafua kuwa aliingiliwa na Jibril
Qur'an kujulisha kuwa ni ya watu wote ina matamko mengi sana yanayowaita ENYI WATU kwa ajili ya wachina ,wajapani,wahindi na wote wengine ambao hawajinasibishi na vitabu kutoka kwa Allah.
Acha uongo Japan watu wanaongea Kiarabu? wale Mitume 124,000 aliosema mtume wenu na wanaongea kwa lugha za watu wao na sio kiarabu ambacho ndio Mudy for Arabs.. Fake Muslim wanaongea walivyolishwa Madrassa someni wenyewe mjue chaka mliloingizwa. Sahih - Mishkat al-Masabih 5737, Book 28, Hadith 20
Abu Dharr aliambia kwamba alimuuliza mjumbe wa Allah, Ni nani alikuwa Mtume wa kwanza? naye akajibu kwamba alikuwa ni Adam. Aliuliza kama yeye ni nabii kweli na akajibu, "Ndiyo, alikuwa nabii ambaye alipewa ujumbe." Alimuuliza mtume wa Allah ni wajumbe wangapi walikuwa nae? naye akajibu, "Wameambiwa wote mia tatu na kati ya kumi na ishirini." Katika toleo lililotoka kwa Abu Umama, Abu Dharr aliambia kwamba alimuuliza mjumbe wa Mungu idadi ambayo ilifanya kikamilisho kamili cha Mitume, naye akajibu, "Laki moja na ishirini na nne elfu kati yao walikuwa Mitume mia tatu na kumi na tano wote walioambiwa."
Abu Dharr told that he asked God's messenger who was the first of the prophets and he replied that it was Adam. He asked if he was really a prophet and he replied, "Yes, he was a prophet to whom a message was given." He asked God's messenger how many messengers there had been, and he replied, "There have been three hundred and between ten and twenty all told." In a version on the authority of Abu Umama Abu Dharr told that he had asked God's messenger the number which made up the full complement of the prophets, and he replied, "A hundred and twenty-four thousand among whom were three hundred and fifteen messengers all told."
Hii inazidi kudhihilisha uongo wa Mudy kwani Kusema Ismail alikuwa naye ni Mtume kwa Arabs inamaana yeye si wa Kwanza
Vile vile kwa ajili ya kuwaita kwenye uislamu ina matamko yanayowaita wakristo na mayahudi kuachana na upotovu na kufuata mafundisho ambayo yameboreshwa yaliyo kwenye uislamu.Matamko hayo ni kama vile ENYI WATU WA KITABU!
Quran haina cha kumfundisha Myahudi wala Mkristo wala kufuata ya Quran Aya 2:62 inasema Waote wanaenda Paradiso so we don't need your dini ya waongo. kichekesho Sabian wanaabudu Nyota eti nao wataenda Mbinguni hahahaha sisi hatuwezi kaa na watu wa dini za ajabu ajabu.
Indeed, the believers,
Jews,
Christians, and
Sabians and whoever ˹truly˺ believes in Allah and the Last Day and does good
will have their reward with their Lord. And there will be no fear for them, nor will they grieve.[al-Maa’idah 5:69]
Upande wa waarabu wale waliokuwa kabla ya Mtume saw na wale alioishi nao hawakuachwa kutajwa kwa maovu waliyokuwa wakiyatenda.yote hayo ni kuonesha Qur'an ni kwa ajili ya muongozo kwa wote.
Muongozo wa Waarabu only soma acha uvivu - Quran 14:4 We have not sent a messenger except in the language of his people to clarify ˹the message˺ for them
Ukilazimisha unamtusi Allah kuwa ni Bwege na aya za ukichaa Mudy alikuwa ni Muonyaj tu kama hizo aya zako down Kasome Quran 48:8 Njemba hata sio Phofhet Alikuwa Matukio yakitokea ndio anakuja na utunzi wake hahaha
Waarabu walio hai miaka hii nao wamepewa vidonge vyao kwenye aya nyingi za Qur'an,baadhi yake ni kwenye surat Towba.Tuone aya mbili tu kati ya hizo, ya 19 na 20
أَجَعَلْتُمْ سِقَايَةَ الْحَاجِّ وَعِمَارَةَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ كَمَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَجَاهَدَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ ۚ لَا يَسْتَوُونَ عِندَ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ
١٩﴾ الَّذِينَ آمَنُوا وَهَاجَرُوا وَجَاهَدُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ بِأَمْوَالِهِمْ وَأَنفُسِهِمْ أَعْظَمُ دَرَجَةً عِندَ اللَّهِ ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَائِزُونَ ﴿
Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.19
Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na hao ndio wenye kufuzu.20
Wanaodharauliwa hapo ni wale ambao wanaujenga msikiti wa Makka (Alkaaba) na kuuwekea teknolojia za kisasa kila mwaka na kuwakirimu vya kutosha mahujaji.Wanawapa maji ya zam zam mpaka mengine wanabeba makwao.Baada ya hapo wanaamini ndio wamemaliza ibada na kutenda wema katika dunia na wanabweteka kusubiri msimu ujao..
Wanaodharaulika ni wale ambao wanaojaza malori eneo la Rafah na wakawacha bidhaa ziharibike huku wanaohitaji na wanaokufa kwa njaa wapo mita chache tu kutoka hapo,
Wakudharauliwa na walimwengu wote ni wale wanaonunua silaha na kuzinduka kwenye maghala bila kuzitumia kupigana na yule anayeuwa ndugu zao masafa mafupi tu kuliko wanapoishi.Hao hao ambao wanatoa zawadi ya ndege na mapesa kwa yule anayeongoza kuua ndugu zao wa kiimani.