fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,023
- 5,000
Kwanini imani ya kikristo inaitwa imani ya kizungu wakati yesu hajawahi kuwa mjerumani, wala mfaransa wala mmarekani. Na mpaka anaondoka sidhani kama alienda huko ulayaSwala la imani za kidini ni tata sana!, swala la uwepo wake ni jepesi sana kuliamini.Tatizo kuu ni pale baadhi ya watu wanapojikabidhi mamlaka ya kuwashawishi watu kumtii kwa njia wanazozitaka wao!.Hapo ndipo baadhi ya watu wenye logic za ndani mfano Wachina wanapolikataa jambo hilo.Kihulasia kwa sisi wapagani (tusiokubali dini za mapokeo) tunaona mkanganyiko ulio wazi!.Kwani Kuhusu imani ya kuwa Mungu ndiye mwenye mamlaka makuu linaweza likaingia akilini,lakini pale walioanzisha imani hizo wanapojumlisha mienendo ya tamaduni zao kuwa ndio njia za kimaisha kwa waumini hapa si kweli!.Kwani inafika mahala ili uonekane muislam safi basi uishi kwenye tamaduni za kiarabu!,au mkiristo safi basi ukopi maisha ya kizungu!.Tuzinduke Waafrika,maswala ya imani yajikite kwenye kuaminisha ukuu wa mungu lakini njia za kuabudu wajichagulie watu kulingana na tamaduni zao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app