Quran: Huyu Issa bin Maryam ni nani? Kwanini aitwe hivi?

Sawa mkuu, mshahara
Nimekupata Vyema.
Nakupongeza kwa busara zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko pamoja mkuu tutakutana kwenye mijadala mingine
Hahahahaha wewe unapiga misumari sana kwenye mijadala yako.
Mimi sikuwezi wewe kwenye mijadala ya Dini, kwani mimi sijasoma kabisa mafundisho Dini ya Kiislamu.
Kule kwetu Peramiho Uislamu hatutilii maanani kabisa, hata ukikiona kitabu cha Qurani kimewekwa mahali huwezi kukigusa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaendelea kuamini fairytales za hivyo vitabu
hakuna kitu kama hicho kilitokea
hilo tukio supposedly lilitokea miaka 5000 iliyopita,africa farao wa kwanza alikuwepo miaka 10,000 iliyopita
bado tu unaamini adama na eva ndio chimbuko lako?!!!!
Hebu tueleze chimbuko letu wanadamu kwa uelewa wako!
 
Ahahahhahahahhhahahahahaha tupima uwezo wa vijana kudadavua mambo
 
Hahaha...kukamatwa kwa Nabii Tito nako unakuzungumziaje mkuu?
 
Hahaha...kukamatwa kwa Nabii Tito nako unakuzungumziaje mkuu?
Nabii Tito alikuwa ananywesha watu Pombe kwenye ibada zake kinyume na maombi aliyoomba katika usajiri wake..
Nabii Tito alikuwa anadhalilisha wanawake kwa kucheza nao hadharani na kuwashikashika maziwa mbele ya watoto katika ibada zake kinyume na alivyozisajiri kazi zake
Jambo hili ni kinyume na maadaili ya Kitanzania ndio maana alikamatwa.
Tatizo alikuwa anavunja katiba ya nchi inayosisitiza kuheshimu utu wa watu wote.
Kama angekuwa anafundisha bila kuvunja maadili asinge bughudhiwa.
Si unawaona Baadhi ya wanaojiita Manabii wanavyokuwa matapeli lakini wanaachwa tu.
Wanadanganya kuwa wanafufua wafu, makabulini Misukule, tena kuna mmoja alijitangaza kabisa kanisani kwake kuwa atamfufua Marehemu Amina Chifupa. wanawaibia waumini fedha kwa mgongo wa Sadaka, wanafundisha mafundisho nje ya Biblia na Ukristo. Wanaigiza kufanya miujiza, wanahubiri chuki, ni kwamba wanafundisha mambo tofauti na ya kwenye biblia lakini hawakamatwi.
Ni kwakuwa hawakiuki katiba ya nchi.
Nabii Tito alikiuka Katiba ya nchi ndio maana alikamatwa na kuzuia kuendelea kugida pombe na kunengua na mahausigeli na kuwapapasa mbele ya jamii.
Mbona kuna makanisa yana majina kama.
The Church of Satan
The Masonic Church
The Church of Lucifer
The Ngwanjima Church.
Yapo na hayazuiliwi kuhubiri imani yao ingawa sio imani ya Kikristo..!
Ulishaona mahali kuna jengo limesajili jina la
The Mosque of Satan ?
Jiulize ni kwanini hakuna jengo linaloitwa hivyo.
Jiulize kama mtu atasajiri hilo jina na kujenga hilo jengo nini kitamtokea.
Wenzetu hamuwezi kuruhusu kitu kinacho challenge Imani yenu, mnakizuia kwa nguvu zote hata ikiwezekana kwa kuua.
Unakumbuka kisanga kilichotokea mwaka ule baada ya yule mtoto kukojole ganda la kitabu cha Qurani ?
Leo hata ukiamua kuinyea Biblia hakuna atakaye kuangalia utaonekana kama kichaa tu.
Fanya kitendo hicho kwa kitabu cha Qurani halafu uone mtiti wake.
Vikatuni vya Yesu Kristo viko kila mahali.
Jaribu kuchora kikatuni cha Mtume Muhammadi kwenye Gazeti au popote halafu sikilizia moto utakavyo waka
Injiri ya Barnaba ipo kila mahali na haina mgogoro wa mtu kuisoma au mwandishi wake, tofauti na Satanic Verse.
Jitafakari kwanini wenzetu mnatumia nguvu kubwa sana ya hata kuua halaiki kama mtu kaandika kitu au kutenda jambo tofauti na imani yenu ?
Mnalazimisha kila mtu awe kama sio anasifia sifia tu kila kitu cha kwenye imani yenu, basi akae kimya lakini sio kuipinga.
Ukiipinga kidogo tu lazima uuliwe kama alivyohukumiwa kuuliwa Salmin Rushdie.
Kuna nini hapo ?








Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...kuna vichwa ngumu huwa eti hawajui kuwa israel iko uarabuni pia
 

Jina la Yesu ni kubwa kweli, lakini halijawahi kuthibitika kufanya kazi katika jambo lisilokuwepo.Imethibitika jina hilo kuyapunga mapepo na sio majini.Hakuna kitu kinaitwa majini isipokuwa mapepo.Majini, ni myths za kiislamu na vitu ambavyo havipo kabisa, zaidi ya kujilisha upepo tu.
 
Ukiwaambia kwanini wasimuite Issa bin Allah, watajibu Allah hajazaa wala hajazaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kma ndivyo basi Adam ilipaswa awe Mtoto wa kwanza wa mungu,right?!!Kwa s'bu issue si kwamba Issa alizaliwa!?Issue ni kwamba wote waliumbwa na mwenye-enzi ingawa ujio wao ndio ulikua tofauti but that doesn't justify Jesus is the son of God,Jesus IS THE WORD OF GOD kwa maana mwenye-enzi huamuru kitu kiwe(mwa kauli) kisha kikawa na tafasiri ya Baba inayotumika hapa ni ndogo/finyu sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…