Quote gani ya Kitanzania kutoka kwa viongozi,wafanyabiashara,watu mashuhuri nchini unayoikubali...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
" Education is not a way to escape poverty, it is a way of fighting it "

"Elimu sio njia ya kuukwepa umasikini, bali ni njia ya kupambana nao"

Mwalimu J.K Nyerere

# " Tabia ya kumpa mtu pole baada ya kazi ni Upuuzi, Badala yake aambiwe Hongera kwa kazi "
Edward Ngoyai Lowassa

# " Vita ya kupambana na ufisadi ni ngumu na hasa unapowabadilisha watu wachache waliozoea maisha fulani kwa miaka 50 "
Rais John Pombe Magufuli

....
karibu...
 
Mkapa, Mwinyi, Mawaziri, wabunge,Viongozi wa Upinzani,Wachungaji,maaskofu,mashehe,Mengi,Mfuruki,Bahresa sioni...
 
mimi nawakubali wahenga tu hawajahi kuniangusha
mkuu wahenga kweli ni Second to none, ila kwa sasa wameishakua makinikia,Mafuta na gesi huko ardhini. Tupe updates za hawa wababe wa siku za karibuni...
 
Utandawazi ni sawa na mauji Kwa nchi zinazoendelea. Ni sawa na kumpambanisha mtu wa uzito wa juu na mtu mwenye uzito wa chini kwenye masumbwi. Hayati Mwl. JK Nyerere.
 
Back
Top Bottom