Quote gani ya Kitanzania kutoka kwa viongozi,wafanyabiashara,watu mashuhuri nchini unayoikubali...

Ni kweli Troll JF Mwambie Bendera kwamba sukari siyo njugu kwani sukari bei Elekezi ni 1800 lakini tunainunua kwa 3500. Njugu si lazima kuzitumia. Hata hivyo muulize alimaansha njugu zipi, au njugu mawe?
 
Hivi ni huyu huyu aliyekuwa "kocha"wa Taifa stars aliyekuwa anahesabu kosa kosa langoni mwa timu pinzani na kudai timu "imebadilika" na kuimarika? Kama alishindwa kuleta tija ktk taaluma aliyosomea WHAT DO YOU EXPECT??!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mh Bendera na Ukocha wapi na wapi Mkuu nakumbuka alikuwa waziri wa Habari na Michezo enzi za mhenga JK.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Aisee kama hujuwi kuwa Bendera ndiyo alikuwa kocha wakati Tanzania inashiriki AFCON wewe basi utakuwa mhenga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mh Bendera na Ukocha wapi na wapi Mkuu nakumbuka alikuwa waziri wa Habari na Michezo enzi za mhenga JK.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Unajua unachosema au umetumwa kuja kubisha tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Maendeleo yapi anayoongelea Bendera....???

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kunya anye akinya bata anaarisha

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom