Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

Jamani jamani.. hizi njaa na opportunism zitaliangamiza taifa!

- ha! ha! ha! hapana on this one ninashabikia a good policy ya CAG kujadiliwa na public, hakuna atakayekuja kutudanganya tena kama awamu zilizopita, kwamba kujadili Muungano ni uhaini! ah! ha! ha!

William.
 
- Hapana ninatoa credit kwa the good policy!

William.

What policy?

Lazime uwe bitter na awamu zilizopita na nitakwambia kwa nini:

Awamu ya kwanza:

Mwaka 1980 wakati Sokoine anajiuzulu Uwaziri Mkuu Mwalimu Nyerere alipanga kumteua Mzee J.S. Malecela kuwa Waziri Mkuu. Mzee akafanya pati ya kujipongeza kabla ya uteuzi Mwalimu akachukia na hakumteua. Hapo hukumpenda Mwalimu. Mwalimu akaja baadae kuandika kitabu 1993 kilimcho muanika kabisa baba yako na mapungufu yake. Utampenda kweli Mwalimu?

Awamu ya Pili:

Mwaka 1990 Mzee Mwinyi alimteua Mzee wako kuwa Waziri Mkuu toka kuwa Balozi na mkafurahia sana kuwa hatimaye kaupata. 1993 under pressure Mzee Mwinyi akamtimua Mzee wako. 1995 Mzee wako akajaribu kugombea Urais na Mwinyi hakumuunga mkono. Utampenda Mwinyi kwa hili?

Awamu ya Tatu:

Mzee tena akajitosa 2005 akiwa na mke mpya kugombea urais na Mkapa na Kawawa ndio waliommaliza asigombee.Utampenda Mkapa kwa hili?

Awamu ya Nne:

Hii lazima uipende. JK kafanya mengi kwa familia yenu.......imetoa DG mmoja wa taasisi ya umma, Judge mmoja na nusra wewe uwe mbunge despite your incompatibilities to be so....na huenda 'mama' akateuliwa baraza jipya....pengine ndio maana unamwaga masifa hapa yasiyo stahili

BADO MBISHI TU?
 
- I mean nchi inafilisiwa that is another topic mkuu, hii topic ni ya CAG kwamba nina imani na Rais sio the ishu hapa the ishu ni kama nina imani na policies zake, yes I do kiongozi bora anajadiliwa kwa policies zaake sio anything else,huu msingi wa ripoti ya CAG kujadiliwa hadharani hautakuja kufutwa tena, ndio tunaita policy ya kiongozi sio imani na yeye as a person, imani na policies zake!

William.
Mkuu umesahau labda ni kukumbushe EPA baada ya hiyo ripoti nini kilifuata, au ndio sera unazosema za fukia fukia, hana jipya mkuu ni yule yule na wewe usitupoteze????

What policy?

Lazime uwe bitter na awamu zilizopita na nitakwambia kwa nini:

Awamu ya kwanza:

Mwaka 1980 wakati Sokoine anajiuzulu Uwaziri Mkuu Mwalimu Nyerere alipanga kumteua Mzee J.S. Malecela kuwa Waziri Mkuu. Mzee akafanya pati ya kujipongeza kabla ya uteuzi Mwalimu akachukia na hakumteua. Hapo hukumpenda Mwalimu. Mwalimu akaja baadae kuandika kitabu 1993 kilimcho muanika kabisa baba yako na mapungufu yake. Utampenda kweli Mwalimu?

Awamu ya Pili:

Mwaka 1990 Mzee Mwinyi alimteua Mzee wako kuwa Waziri Mkuu toka kuwa Balozi na mkafurahia sana kuwa hatimaye kaupata. 1993 under pressure Mzee Mwinyi akamtimua Mzee wako. 1995 Mzee wako akajaribu kugombea Urais na Mwinyi hakumuunga mkono. Utampenda Mwinyi kwa hili?

Awamu ya Tatu:

Mzee tena akajitosa 2005 akiwa na mke mpya kugombea urais na Mkapa na Kawawa ndio waliommaliza asigombee.Utampenda Mkapa kwa hili?

Awamu ya Nne:

Hii lazima uipende. JK kafanya mengi kwa familia yenu.......imetoa DG mmoja wa taasisi ya umma, Judge mmoja na nusra wewe uwe mbunge despite your incompatibilities to be so....na huenda 'mama' akateuliwa baraza jipya....pengine ndio maana unamwaga masifa hapa yasiyo stahili

BADO MBISHI TU?
Mkuu CAMARADERIE kumbe unazo data sahihi, huyu Mhe ana lengo maalumu la kumwaga sifa tele kwa mkulu akimtengenezea mama ulaji, makubwa hayo JF ina mambo bwana!!!!!

What policy?

Lazime uwe bitter na awamu zilizopita na nitakwambia kwa nini:

Awamu ya kwanza:

Mwaka 1980 wakati Sokoine anajiuzulu Uwaziri Mkuu Mwalimu Nyerere alipanga kumteua Mzee J.S. Malecela kuwa Waziri Mkuu. Mzee akafanya pati ya kujipongeza kabla ya uteuzi Mwalimu akachukia na hakumteua. Hapo hukumpenda Mwalimu. Mwalimu akaja baadae kuandika kitabu 1993 kilimcho muanika kabisa baba yako na mapungufu yake. Utampenda kweli Mwalimu?

Awamu ya Pili:

Mwaka 1990 Mzee Mwinyi alimteua Mzee wako kuwa Waziri Mkuu toka kuwa Balozi na mkafurahia sana kuwa hatimaye kaupata. 1993 under pressure Mzee Mwinyi akamtimua Mzee wako. 1995 Mzee wako akajaribu kugombea Urais na Mwinyi hakumuunga mkono. Utampenda Mwinyi kwa hili?

Awamu ya Tatu:

Mzee tena akajitosa 2005 akiwa na mke mpya kugombea urais na Mkapa na Kawawa ndio waliommaliza asigombee.Utampenda Mkapa kwa hili?

Awamu ya Nne:

Hii lazima uipende. JK kafanya mengi kwa familia yenu.......imetoa DG mmoja wa taasisi ya umma, Judge mmoja na nusra wewe uwe mbunge despite your incompatibilities to be so....na huenda 'mama' akateuliwa baraza jipya....pengine ndio maana unamwaga masifa hapa yasiyo stahili

BADO MBISHI TU?
Duh! Mkuu japo mimi natoka kabila la mijitu mibishi kabisa on the surface of this Bongoland, kwa hizo data or facts ulizompa Le Muttuz KAMA ZA UKWELI, haki ya nani nsingeendelea kubisha kama nngekuwa yeye! Badala yake nngeendelea kufuatilia mambo pale High Court ili niwajuze wana JF! IF I WERE HIM, lakini nnavyomfaham Le Muttuz, mh, sijui...!
 
CAG kitu gani?! Ripoti ya ukaguzi ya Stendi ya Ubungo iko wapi, embu wewe William ibandike hapa ijadiliwe.

Kuwa na sera ya repoti za CAG kuwa public, bila utekelezwaji na haswa haswa uwajibisha unao-onekana wa mafisadi na majizi ya mali ya Umma haitoshi.
 
What policy?

Lazime uwe bitter na awamu zilizopita na nitakwambia kwa nini:

Awamu ya kwanza:

Mwaka 1980 wakati Sokoine anajiuzulu Uwaziri Mkuu Mwalimu Nyerere alipanga kumteua Mzee J.S. Malecela kuwa Waziri Mkuu. Mzee akafanya pati ya kujipongeza kabla ya uteuzi Mwalimu akachukia na hakumteua. Hapo hukumpenda Mwalimu. Mwalimu akaja baadae kuandika kitabu 1993 kilimcho muanika kabisa baba yako na mapungufu yake. Utampenda kweli Mwalimu?

Awamu ya Pili:

Mwaka 1990 Mzee Mwinyi alimteua Mzee wako kuwa Waziri Mkuu toka kuwa Balozi na mkafurahia sana kuwa hatimaye kaupata. 1993 under pressure Mzee Mwinyi akamtimua Mzee wako. 1995 Mzee wako akajaribu kugombea Urais na Mwinyi hakumuunga mkono. Utampenda Mwinyi kwa hili?

Awamu ya Tatu:

Mzee tena akajitosa 2005 akiwa na mke mpya kugombea urais na Mkapa na Kawawa ndio waliommaliza asigombee.Utampenda Mkapa kwa hili?

Awamu ya Nne:

Hii lazima uipende. JK kafanya mengi kwa familia yenu.......imetoa DG mmoja wa taasisi ya umma, Judge mmoja na nusra wewe uwe mbunge despite your incompatibilities to be so....na huenda 'mama' akateuliwa baraza jipya....pengine ndio maana unamwaga masifa hapa yasiyo stahili

BADO MBISHI TU?

1) Tupe qualifications za hao.

2) Kama Kikwete ndio kawapa u DG na U judge, ameshindwa nini kumpa Ubunge huyu kijana?

Unachanganya mada ya Kikwete na ukoo wa Malecela.

Jibu aliyoyasema usimvae yeye binafsi. Zipo nyuzi tulizomjibu kuhusu kugombea kwake ubunge, ni busara yale ya Ubunge ukayapeleka huko.
 
Wewe ni sawa na kasuku wa getini......kazi yake kuiga maneno ya mtaani badala ya wale wanaomlisha.......jamaa katoa analysis safi ya kisiasa wewe unadai anamvaa kibinafsi...kivipi? Baba yake kuutaka urais ni binafsi?
 
What policy?

Lazime uwe bitter na awamu zilizopita na nitakwambia kwa nini:

Awamu ya kwanza:

Mwaka 1980 wakati Sokoine anajiuzulu Uwaziri Mkuu Mwalimu Nyerere alipanga kumteua Mzee J.S. Malecela kuwa Waziri Mkuu. Mzee akafanya pati ya kujipongeza kabla ya uteuzi Mwalimu akachukia na hakumteua. Hapo hukumpenda Mwalimu. Mwalimu akaja baadae kuandika kitabu 1993 kilimcho muanika kabisa baba yako na mapungufu yake. Utampenda kweli Mwalimu?

Awamu ya Pili:

Mwaka 1990 Mzee Mwinyi alimteua Mzee wako kuwa Waziri Mkuu toka kuwa Balozi na mkafurahia sana kuwa hatimaye kaupata. 1993 under pressure Mzee Mwinyi akamtimua Mzee wako. 1995 Mzee wako akajaribu kugombea Urais na Mwinyi hakumuunga mkono. Utampenda Mwinyi kwa hili?

Awamu ya Tatu:

Mzee tena akajitosa 2005 akiwa na mke mpya kugombea urais na Mkapa na Kawawa ndio waliommaliza asigombee.Utampenda Mkapa kwa hili?

Awamu ya Nne:

Hii lazima uipende. JK kafanya mengi kwa familia yenu.......imetoa DG mmoja wa taasisi ya umma, Judge mmoja na nusra wewe uwe mbunge despite your incompatibilities to be so....na huenda 'mama' akateuliwa baraza jipya....pengine ndio maana unamwaga masifa hapa yasiyo stahili

BADO MBISHI TU?

- Hizi kwenye siasa tunaita kelele za mlango, unatumia nguvu nyingi sana bila hoja tena kwa ishu ambazo wala hazina tija kwa taifa, mkuu naomba kurudia ninachosema ni hivi:-

Ninamhukumu Kiongozi yoyote kutokana na policies zake kwa Taifa na hasa wananchi, kwenye hili la ripoti ya CAG kusemwa hadharani na kujadiliwa na wananchi, ni simply policy ya DR. JK na pia ni legacy yake as a Leader, hakuna wa kuipnagua wala kuiua, from now on ripoti ya CAG itakuwa ni public right na pia hakuna wa kuja kutuambia kwamba kujadili Muungano ni uhaini!

- Kwa hili Dr. JK deserves a credit, sasa go ahead and come back with all those empty theories za nani nalitaka kumpa Waziri Mkuu sijui nani alimpa Urais, ha! ha! ha! ha! ha!

William.
 
Wewe ni sawa na kasuku wa getini......kazi yake kuiga maneno ya mtaani badala ya wale wanaomlisha.......jamaa katoa analysis safi ya kisiasa wewe unadai anamvaa kibinafsi...kivipi? Baba yake kuutaka urais ni binafsi?

- Haya hayahusu anything, the point here ni kwamba Dr. JK anasema kwenye his quote kwamba yeye ndiye aliyeleta policy ya CAG ripoti kuwekwa hadharani, FULL STOP!

- NA I AGREE WITH HIM, KWAMBA IMESAIDIA SANA KUJUA MADUDU YA SERIKALI, ONE STEP HIYO NEXT ONE NDIO SASA TUNADAI MAWAZIRI WAENDE MAHAKAMANI

- Mototo huanza kwa kutambaa kwanza, and then ndio hutembea!

William.
 
- Haya hayahusu
anything, the point here ni kwamba Dr. JK anasema kwenye his quote
kwamba yeye ndiye aliyeleta policy ya CAG ripoti kuwekwa hadharani, FULL
STOP!

- NA I AGREE WITH HIM, KWAMBA IMESAIDIA SANA KUJUA MADUDU YA SERIKALI,
ONE STEP HIYO NEXT ONE NDIO SASA TUNADAI MAWAZIRI WAENDE MAHAKAMANI

- Mototo huanza kwa kutambaa kwanza, and then ndio hutembea!

William.

I understand you bro.
 
- Haya hayahusu anything, the point here ni kwamba Dr. JK anasema kwenye his quote kwamba yeye ndiye aliyeleta policy ya CAG ripoti kuwekwa hadharani, FULL STOP!

- NA I AGREE WITH HIM, KWAMBA IMESAIDIA SANA KUJUA MADUDU YA SERIKALI, ONE STEP HIYO NEXT ONE NDIO SASA TUNADAI MAWAZIRI WAENDE MAHAKAMANI

- Mototo huanza kwa kutambaa kwanza, and then ndio hutembea!

William.

Kwa hiyo tunamsifia kwa kutumia miaka saba kuweka ripoti ya CAG hadharani? Na hii ni performance indicator ya Rais? Kuweka ripoti ya CAG hadharani??? C'mon guys, we can do better than this! To me this is tooooooooooooo low a bar for a presedential performance indicator.
 
Hii mada nilikuwa naiona ikiwa na vazi tu, kumbe kwa ndani iko hivi na hichi ndicho alichosema? Kwani wakati wanabuni nafasi ya CAG walimuwekea majukumu gani ambayo sasa yamebadilika? Na ijulikane tu so far cag anakagua tu hajaanza kudhibiti
 
Kwa hiyo tunamsifia kwa kutumia miaka saba kuweka ripoti ya CAG hadharani? Na hii ni performance indicator ya Rais? Kuweka ripoti ya CAG hadharani??? C'mon guys, we can do better than this! To me this is tooooooooooooo low a bar for a presedential performance indicator.

Ikiwa yeye kachukuwa miaka "saba" na huoni kuwa achievement, umeshajiuliza Nyerere miaka 24 hakufikiria hilo! Mwinyi miaka 10 hakufikiria hilo! Mkapa miaka 10 hakufikiria hilo, jumla miaka 44 hakuna aliyefikiria.

Sema yupi bora kwa hilo?
 
Sikufananisha nani "better" kuliko mwenzake. Ninachosema ni kuwa sidhani kama kuweka hadharani ripoti ya CAG ni perfomance indicator against which we can measure the President's achievements. Kwangu mimi nitapima utendaji wa Rais katika kuchukua hatua dhidi ya wezi na sio katika kushabikia wezi kutajwa hadharani. Kwangu mimi huo ni upuuzi tu!
 
Niliwahi kuandika J. K anasiri nzito, uyu mkuu anauchungu na taifa hili, sema mapapa wanaila nchi. Uyu mkuu atamaliza na watu watanzania wengi watashanga. Aliwah kusema "serikal yangu haina ubia na mtu.
 
Back
Top Bottom