Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
- Thread starter
- #21
Kizibao
umezungumzia maswala ya mashamba ya ujamaa na rushwa za juu enzi za sabini ambavyo ni havikusaidia nchi kuwa productive kwa mujibu wako. Consider tulikuwa na mabwana shamba hivyo sidhani kama tulikuwa tunalima kiolela olela tu ningependa kujua je kwanini the policy was a failure after a long period of trying. Was it as a result of lacking natural resources such as rain hili kumwagilia mashamba, did they have plan B in irrigating the farms, was it because people dint fancy the idea therefore participating in the farming declined, or was it just a policy that was not well detailed ili tujue uwezo wa mwalimu kifikra. Labda hata tumlaumu aliyemshauri ni nani alikuwa 'sidekick' wake kwenye kutunga sera na mwongozo wakati huo or was it just a one man band. If so then how did he deal with aides (ministers) and what were there roles?
Na kama kulikuwa na rushwa who were the givers and takers of the act, maana asilimia kubwa ya watanzania hawakuwa na hela, na je kabla ya Sokoine kuibuka na uhujumu uchumi ilikuwaje wadosi waweze kupeta enzi ya mwalimu na wazawa kukwama. Mwalimu alikuwa anawaogopa weusi kwa sababu ya kulinda utawala wake ndio maana akawakandamiza wasomi wengi na kuwanyima elimu ya juu watanzania wengi kipindi chake. Mbona hawa watanzania wenye asili za kiasia hawakuwa na hali mbaya kama watanzania weusi wengi, it seems we dint have a level playing ground in the social. Therefore what were his motives in allowing others and limiting others, kwa sababu its pretty much the same naona naposoma akina manji na sijui the jeetu's?