Questioning Mwalimu is of benefit to our understanding

Ulivyo juha umeshindwa hata kuoanisha uhusika wa ubongo wako na matendo yako. Hivi unataka kuniambia wakati unachapa (type) ubongo wako ulikuwa umeganda? Au hujui kuwa matendo yetu huanzia kwenye ubongo kwanza?

Sikujua kama uko kiazi namna hii....eti nimekukamata kwenye "kyeboard na siyo kwenye ubongo"....delirious!!!!

NN wewe hapo kwenye blue ubongo wako ulikuwa umeganda?
 
Nyani Mwana Ngabu Wantazania ni tofauti sana na Waafrika wengine. Ili Mitanzania iendelea inabidi iachane na kumtumia Mwalimu kama kisingizio cha kuendekeza utamaduni wa kufeli ni kujifukarisha. Tumeshajua wapi Mwalimu alikosea. Sasa kilichobaki ni kurekebisha na kusonga mbele. Kama Mwalimu alichukua ardhi na kushindwa kuiendeleza basi irudi kwa wananchi walime. Na kama Mwalimu alianzisha makampuni yaliyokufa kutoka na menejimenti mbovu tuyafufue au tuanzishe mengine yenye tija. Tena kama Mwalimu alichukua taasisi za elimu na kuzidumaza basi zirudi kwa wahusika wazikuze.

Huu Mzimu wa Mwalimu inabidi tuupumzishe kwa amani kama tunataka kweli kuendelea kama Taifa!

Kuondoa mzizi mbaya wa mwalimu ni kuondoa na CCM vile vile, na labda huo utakua ndio mwanzo wa kuleta katiba safi na kuondoa ukandamizaji wa Polisi. Watu binafsi waweza kua wazalishaji wazuri lakini bila ya kua chini ya serikali adilifu na ilyopo kwa ajili ya watu bado hatutafika popote.
Sawa tumwache mwalimu, cha kufanya kwanza ni kung'oa serikali ya CCM ambayo ina mzimu wa Mwalimu.
 
(emphasis added)

This sums up what I would like to say about kumdiscuss Nyerere: so what? Does it mean miaka hii 25 after Nyerere, we have Nyerere a more priority to discuss than what happened in 25 years?

"ordinary minds discuss events" -- which event that happened during Nyerere time that still affect us, in which by discussing it will give us a solution to our current problems? Is there anything we can do about those events?

"but [we!] the great minds discuss ideas" -- Which Nyerere's idea is on the table to be discussed? How is that idea still affects our lives today? I thought zama za "zidumu fikra" zilishasahauliwa? Is there anything we can do about those ideas?

"simple minds discuss people" -- or are discussing Nyerere as a person? How will that solve our current problems? Is there anything we can do about him?

Wow that all u've got!!???hii ni mara ya pili uradua msemo huu bila ya kuchanganua au kuja na kitu kipya ambacho kita proove kwamba sisi tupo wrong.Are we gossiping here?Of course not.we're discussing how some idea has been responsinble in failing us,and you calling us our mind is simple.na huku ukijua ya kuwa huwezi kujadili idea zozote bila ya kumjadili yule alizileta zile idea na jee wapi alifeli?jee ilikuwa ni idea yenyewe ni mbaya au the way he/she used to implement it has a problem?
Ijapokuwa unasema ya kuwa siyo zama za zidumu fikra na ijapokuwa hawasemi hadharani lakini nyoyoni wanasema hivyo mtu utamsikia angekuwepo baba wa taifa hapa!ukimuuliza kwa nini na huyo baba wa taifa amefanya nini na angetusaidia vp kuondokana na janga hili basi anashidwa kukuambia sasa.sasa ndiyo wananchi wengi sana wako kama hivyo hawajui huyo baba wa taifa amefanya nini na ameichangia vp nchi yetu kuwa katika umasikini.
Wale wote ambao wanataka tusilaumu hali yetu tuliyokuwa nayo sasa hivi hakusababishwa na na yale madudu yaliyofanyika miaka ya 70 na mwanzoni mwa 80.basi atueleze na atupe sababu zake na siyo una copy na ku paste quotes tu elezea kwa undani kabisa jinsi gani viongozi baada ya mwalimu walilizamisha au walishinda kuliokoa taifa ambao lilikuwa limeshazama.
Utamsikia mtu anasema mwalimu alikuwa hana uroho wa madaraka bwana.lakini walikuwa hawajua alikuwa ameliacha taifa limeoza na maji yalikuwa shingoni na alikuwa yuko too proud ku admit ya kuwa policies zake zilikuwa zimefail na ili tuanze fresh start na matokeo yake amestaafu na hukua akiamuwa kumpiga madongo yule mtu aliyemfuata ambae alikuwa anajaribu kusafisha jis mess.Mpaka kuna wakati nafikiria motive yake pengine ilikuwa si kuiona Tanzania inaendelea bali yeye kuwa Hero and popular katika jamii ya kitanzania.
Jamii ya kitanzania ya leo ni wajinga(elimu ndogo) na hilo ndiyo sababu kubwa sana inayotupelekea hapa tulipo.Je na tuagalie mara baada ya kupata uhuru sera yaelimu ilikuwaje na alichukua nguvu gani kuendeleza elimu vijijini na alihakikisha vp kila mtanzania ni hali yae kupata elimu... na kama utarudi nyuma basi(kama ulikuwa umeshazaliwa) jibu linasikitisha sana.
Mtu unapotaka kujenga nyumba basi unaanza na foundation baadae ndiyo unasimamisha kuta.sasa kama fundi ambae amejenga foundation alikuwa siyo mzuri na foundation ilikuwa siyo imara(mbovu),its unfair kumlaumu mtu aliyejenga kuta. kwa sababu ubovu wa nyumba ile umesababishwa na foundation.Inawezekana huyo fundi aliyejenga kuta siyo mzuri na kwani kama laiti angekuwa anajua ile foundation haikuwa imara.kwani wahenga wanasema huwezi kusolve tatizo bila ya kujua lile tatizo lenyewe...sasa sijui hawa viongozi wa awamu tatu zilizofuata wanalijua tatizo la nchi au not....lakini kwa hali inavyokwenda naona kama hawalijui kwani wanaendelea kupaka rangi kuta ambazo zimesisimama kwenye foundation iliyooza.
Sasa nataka utuambie kosa ni la nani?
Mungu ibariki Tanzania
 
Watu wenye mitazamo hii huwa nawauliza: Mjerumani alitawala Tanganyika takribani toka 1885 - 1918, Mwingereza akatawala toka 1918 - 1961, Nyerere akaongoza toka 1961 -1985 halafu urithi wote mbovu wa Tanzania anatwisha mtu mmoja: Mwalimu Nyerere! Hivi na wewe pia ni urithi wa Nyerere - mawazo yako na fikra zako zote ni kwa sababu ya Nyerere? Mwalimu Nyerere ndiye ametupa kina Juma Contena ambao wanashindwa kuiendeleza Tanzania na kuishia kulalamika kuwa eti wameshindwa miserably kwa ajili ya Nyerere? Take responsibility man! Change that system - systems are never changed by blaming people!

This thread written
By Ann Talbot
15 November 2000

Nyerere's defenders see the early years after independence as a golden age and exempt him from blame for the social catastrophe that has followed, but in reality his policies have led to the present situation. His so-called African socialism was always dependent on the aid that Western governments were prepared to give to prevent a social revolution in Africa.
Nyerere was able to use the Cold War to extract more concessions from the West than they would otherwise have been prepared to grant, but he remained loyal to the Western camp. That was why, despite his socialist rhetoric, he became a favourite of Robert McNamara when he was President of the World Bank—who directed large amounts of aid to Tanzania.
When this policy changed in the 1980s and aid was cut neither Nyerere nor any other elements in the CCM had any alternative policy but to go along with Western demands since their entire political outlook had always been one of accepting Africa's subordination to Western political policies and economic domination.
While Western aid produced some benefits for the mass of the population, Nyerere's limited welfare schemes were always fundamentally a system of patronage, which ensured political and economic benefits for a small elite. Deprived of these benefits, Tanzanian politicians are attempting to preserve their privileged position by carving out for themselves enclaves in which they will control the resources that Western investors want.
For the mass of the population of Tanzania the future is not in a return to Nyerere's African socialism which was always a false prospect. Nor does not it lie with any of the self-interested cliques that have emerged from Nyerere's CCM, but in developing an independent socialist perspective which unites workers and the impoverished masses of the Africa for the overthrow of imperialist domination. The resources of this vast continent must be taken out of the hands of the banks and transnational corporations and developed in the interests of the whole population
 
Questioning Mwalimu is of benefit to our understanding
tazama sasa ulivyokuwa una matatizi m(w)od umebadilisha headline si ilikuwa hivi
Re: Questioning Mwalimu is a benefit to our understanding
Una matatizo gani we kweli ulipelekwa na k..... upo ulipo labda ukutegemea. Ebu muulize dogo akwambie mi sipo hapa kutafuta ajira, kuandika nakala, kutafuta connections i can do that on my own and I have enough people to achieve not to mention my own wit nigger pls achana na mimi.

Kwanza nazuga tu hapa ndoto zangu Tanzania aziwezi nitimizia hata raisi wetu angekuwa 'Clement Atlee' acha ushamba na achana na mimi. Nikiamua kua attack I do attack you aint seen nothing yet idiot out of me. Sasa usishangae kwanini wengine wanabaki kuongea tu behind me and na wakiniona mwenyewe ufyata again nigger pls mi nazuga tu hapa and no offer could tempt me we **** I have my missions and Tz politics aint one.

Hili ufurahi im out of here i loose nothing and i gain nothing at the same time ***** mimi kweli i dont follow trouble but trouble follow me. Bear in mind sikujui labda siku nyingine ikupunguzie chuki na watu usiowajua **** wewe.
 
tazama sasa ulivyokuwa una matatizi m(w)od umebadilisha headline si ilikuwa hivi Una matatizo gani we kweli ulipelekwa na k..... upo ulipo labda ukutegemea. Ebu muulize dogo akwambie mi sipo hapa kutafuta ajira, kuandika nakala, kutafuta connections i can do that on my own and I have enough people to achieve not to mention my own wit nigger pls achana na mimi.

JC, kwani tofauti ni ipi kati ya
Questioning Mwalimu is of benefit to our understanding
na
Re: Questioning Mwalimu is a benefit to our understanding
?
 
tazama sasa ulivyokuwa una matatizi m(w)od umebadilisha headline si ilikuwa hivi Una matatizo gani we kweli ulipelekwa na k..... upo ulipo labda ukutegemea. Ebu muulize dogo akwambie mi sipo hapa kutafuta ajira, kuandika nakala, kutafuta connections i can do that on my own and I have enough people to achieve not to mention my own wit nigger pls achana na mimi.

Kwanza nazuga tu hapa ndoto zangu Tanzania aziwezi nitimizia hata raisi wetu angekuwa 'Clement Atlee' acha ushamba na achana na mimi. Nikiamua kua attack I do attack you aint seen nothing yet idiot out of me. Sasa usishangae kwanini wengine wanabaki kuongea tu behind me and na wakiniona mwenyewe ufyata again nigger pls mi nazuga tu hapa and no offer could tempt me we **** I have my missions and Tz politics aint one.

Hili ufurahi im out of here i loose nothing and i gain nothing at the same time ***** mimi kweli i dont follow trouble but trouble follow me. Bear in mind sikujui labda siku nyingine ikupunguzie chuki na watu usiowajua **** wewe.

hahaha...matisho ya kwenye keyboard...kazi kweli kweli!
 
Nyerere was a dictator. he created a system that gave him total power, kwanzia kwenye chama mpaka kwenye urais. Ndo maana leo kikwete kwa kupita kamati kuu ya chama anaweza kumtoa mtu aliyeshinda kura za maoni kwa madai ya kipumbavu. Na huna any other access of remedy! Unless kama utapata mwanasheria jasiri (asiyeogopa kuuliwa) na kuweza ku-argue in favour of a judicial review ya decision ya chama. ONYO: ukienda mahakamani, utakumbwa na ukiritimba na rushwa balaa, meaning huna chance ya kupata a fair trial. So u r basically stuck in a corruptive system made to favour one persona and give total power to the Mwenyekiti wa Chama!
Ukitaka kujua CCM ni upuuzi...and i guess in relation to ur discussion (chama cha nyerere), anangalia system yao ya kuchagua kiongozi. How can kikwete go unchallanged kwenye kura za kutafuta mgombea 2010? yani katika ccm nzima hakuna mtu aliyeona mapungufu ya kikwete kufikia hatua ya kusema mimi naweza kazi zaidi. Ohh...wait...wameamua kupeana muda. Meaning, they are not there for the benefit of the people but of the party. its all stupid na wanahitaji kupinduliwa! na huwezi kuamini watu wenye uprofessor wameenda kupanga mstari huko kusubiri their turn! but yes...hii ndo tz! the land of ccm...kidumu chama cha mapinduzi...
 
Mmepewa nchi kuiongoza you have failed miseralbly in the last five years and still you will be given another five years to fail us ILE MBAYA!

MMEWEKA PICHA KILA KONA UTDHANI RAIS ANACHAGULIWA KWA PICHA!
MANDELA ALIWAHI KUSEMA WAAFRICA WATU WA AJABU TUNABAKI KULAUMU UKOLONI WAKATI UWEZO WA KULETA MAENDELEO TUNAO. SASA VIONGOZI WA TANZANIA WAKISHINDWA KUONGOZA NCHI WANAANZAKUTUMA WATOTO WAO KUJA HAPA SHAMELESSLY KUTUMBIA TUMJADILI NYERERE.

LABDA NI AFAF=DHALI USEME TUJADILI JISNSI GANI TUTAANZISHA KATIBA, PIA KURUHUSU WAGOMEA BINAFIS NK! UONE MAANA KIONGOZI WA SASA ANAOGOPA SANA MGOMEBA BINAFSI NA MAGEUZI AMENUNUA TV, RADI, NA MAGAZETI YOTE!!!!

AMA KWELI YOU WILL FAIL US BADLY AND LEAVE THE COUNTRY IN A GLOOMY STATE FOR SEVERAL YEARS TO COME!
 
Mmepewa nchi kuiongoza you have failed miseralbly in the last five years and still you will be given another five years to fail us ILE MBAYA!

MMEWEKA PICHA KILA KONA UTDHANI RAIS ANACHAGULIWA KWA PICHA!
MANDELA ALIWAHI KUSEMA WAAFRICA WATU WA AJABU TUNABAKI KULAUMU UKOLONI WAKATI UWEZO WA KULETA MAENDELEO TUNAO. SASA VIONGOZI WA TANZANIA WAKISHINDWA KUONGOZA NCHI WANAANZAKUTUMA WATOTO WAO KUJA HAPA SHAMELESSLY KUTUMBIA TUMJADILI NYERERE.

LABDA NI AFAF=DHALI USEME TUJADILI JISNSI GANI TUTAANZISHA KATIBA, PIA KURUHUSU WAGOMEA BINAFIS NK! UONE MAANA KIONGOZI WA SASA ANAOGOPA SANA MGOMEBA BINAFSI NA MAGEUZI AMENUNUA TV, RADI, NA MAGAZETI YOTE!!!!

AMA KWELI YOU WILL FAIL US BADLY AND LEAVE THE COUNTRY IN A GLOOMY STATE FOR SEVERAL YEARS TO COME!

Wow! hatari kweli kweli
Bado wale vipofu na nyerere fanatic wanajaribu kila njia kutaka kuubalisha huu mjadala kwenda katika uongozi wa sasa.kitu kimoja nataka kuweka wazi.. ijapokuwa ya kuwa iko wazi kwamba matatizo yetu mengi sana yamechangiwa na nyerere regime.na vile vile viongozi waliofuata wamechangia vile vile lakini under principle ambazo zimeekwa na CCM tokea 77.
Mtu ambae ana IQ below everage maisha yote huwa anaamini kila kitu hakiwezekani na anaamini zaidi msaada au kuambiwa na watu kitu gani cha kufanya,akina mtu unajitegemea kimawazo imani zake huwa yule mtu ameambiwa.Sasa Mr Mkira naamini wewe unaweza kuwa miongoni mwa watu hao.
Tanzania tutabakia kuwa nyuma kama tukiendelea kuzienzi na kuzilinda zile fikra ambazo zime prove kuwa failure.kila mtu leo utasikia angekuwepo baba wa taifa haya yasingetokea....angefanya nini? yeye siyo aliyejenga msingi na kiuno ya haya hii nyumba tunayoisha na tunayoendelea kutetea kila siku ya kuwa nyumba ni nzima lakini kiongozi wa wakaazi wa hii nyumba ni wabovu.Yeah mnaweza kuwa right.let come to the basic ikiwa tunataka kutatua matatizo yetu.kwanza wacha tuzifute sera zote zile ambazo zimeekwa na baba wa taifa ya kuwa zilikuwa hazitekelezeki laikini cha kusikitisha mpaka sasa hao wanaitwa wataalamu wa chuo kikuu watalitetea azimio la arusha na viongozi wengine wa vyama vya siasa wanalilaumu azimio la zanzibar kuwa ndiyo tatizo. huku wakilifumbia macho tatizo halisi.yeah may be katiba mpya ndiyo suluhisho lakini hao waandaaji wa katiba mpya wana mawazo yale yale mgando ku kuzilinda na kuzienzi fikra sahihi za baba wa taifa...we have long way to go
 
Back
Top Bottom