Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.
Sio kwa dunia ya leo hizi habri za tribe perpertual mbona mnaziendekeza sana?
Suala la mapenzi ni pana kuliko tufikiriavyo ila ntakubalina na moja kuwa wasukuma sio wachoyo na wanapenda watu so angalia kama utamatch nao.
nakbaliana nawe ila kwa wakurya sijui sana........ ila dah hiyo geography yako mh siisomi..... (waskuma kaskazini???)dear Viva89,
oleho??
surely upande wetu wa kaskazini, kuanzia wasukuma, wakurya, nk.. true love sio ya kuuliza.. huo ni wajibu wetu kupenda kwa dhati kabisa..!
tegemea kuwa na mwenzako kama sio wenzako,
kwao nyumba ndogo ni muhimu!
Yaa wana upendo wa dhati ila hawapendi mwanamke mchoyo na malaya...kama una sifa hizo kaa mbali nao,kama huna karibu sana.
Mwambieeeeee banaa wasukuma hoyeeee
they are great lovers for sure
ila tu usiwe na mkono wa birika...hasa kwenye suala la vyakula
Wasukuma ni washamba na mazezeta kwenye mapenzi tena ukiwakamata vizuri unajenga kwenu halafu hawatahiriwi.
dear Viva89,
oleho??
surely upande wetu wa kaskazini, kuanzia wasukuma, wakurya, nk.. true love sio ya kuuliza.. huo ni wajibu wetu kupenda kwa dhati kabisa..!
Wasukuma ni washamba na mazezeta kwenye mapenzi tena ukiwakamata vizuri unajenga kwenu halafu hawatahiriwi.
God Always listens and He works in mysterious ways, never forget to say Thank You to The Almighty
kwani wewe ni msukuma au mgita?