Question- wasukuma and Love relations

Mh kuna wanaotaka ugali na maziwa mgando asubuhi!
 
punguza umbea. Lea ndoa mtoto wa kike.

btw msalimie sana mama yako Lady doctor. Mwambie I miss her.

hahahaha ndoa ngumu hii aiseeee nisingekuwa na moyo wa kisukuma siku nyingi ingekuwa chaliii maana huyu king Excel kila sehemu anachombeza tu me najifanya ka kipofu tu

usijali salamu zishafika kwa mam
Arushaone anamfichaje siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Mh kuna wanaotaka ugali na maziwa mgando asubuhi!

Tena liwe dona mchanganyiko na unga wa mhogo (udaga) + samaki/nyama au mlenda/kisamvu vilivyochanganywa karanga&maziwa vikalazwa! aisee ukishushia na malibhoto! aaaah acha kabisa wang'hise lazima huyo ke ntajituma nijenge kwao!
Karibuni mabinti muolewe na me wa Kisukuma hasa watokao mwanza sie hatuna mfumo dume tupo very modernized!
 
Teheeee mkuu dah na wewe unapenda hii kitu asubuhi? Maana issue ni kusonga ndude hiyo asubuhi...
Wandemi ni lazima, vijana wataenda kuchunga bila kupiga ugali!?
Bonge la ugali na maziwa mgando au fresh(Masunga), ka mboga kanakuwaga kadogo tu, chanji imejaa maziwa, tonge kubwa kinoma hata kama ugali wa moto unaenda tu.
 
Wanajua kupenda na kucare lakini wana uhuru wa kuoa zaidi ya mke mmoja na bado wakabalance pendo. Kwao michepuko ni asili, hivyo ikitokea anachepuka usifikiri kuwa amebadili tabia. Kwa upole ndio wenyewe.

Hili ni janga! Polygamy!
 

Kwani hakuna ambao hawajaoa? Halafu tumesikia wanapenda michepuo, tena kwao ni kawaida sana, ni kweli?
 
Wana kitabia cha kuoa mke mwingine hasa baada ya kukuzalisha.
 
Sio kwa dunia ya leo hizi habri za tribe perpertual mbona mnaziendekeza sana?
Suala la mapenzi ni pana kuliko tufikiriavyo ila ntakubalina na moja kuwa wasukuma sio wachoyo na wanapenda watu so angalia kama utamatch nao.

Wewe Mkulya nini????
 
same here
...hata mimi napenda sana hiyo kitu..
Hapa kazi ipo manake me don't know how to cook ze ugali.
Kama wewe Ni mke wangu huna ujanja, utasonga tu..

hahahahaha. ML sometime unanichekeshaga mno!
Wandemi ni lazima, vijana wataenda kuchunga bila kupiga ugali!?
Bonge la ugali na maziwa mgando au fresh(Masunga), ka mboga kanakuwaga kadogo tu, chanji imejaa maziwa, tonge kubwa kinoma hata kama ugali wa moto unaenda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…