Question- wasukuma and Love relations

Question- wasukuma and Love relations

Viva89

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
1,262
Reaction score
530
Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.
 
God Always listens and He works in mysterious ways, never forget to say Thank You to The Almighty
 
am on that on to the next one part jamani ila i have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoniii anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao
dear Viva89,

oleho??

surely upande wetu wa kaskazini, kuanzia wasukuma, wakurya, nk.. true love sio ya kuuliza.. huo ni wajibu wetu kupenda kwa dhati kabisa..!
 
Last edited by a moderator:
Sio kwa dunia ya leo hizi habri za tribe perpertual mbona mnaziendekeza sana?
Suala la mapenzi ni pana kuliko tufikiriavyo ila ntakubalina na moja kuwa wasukuma sio wachoyo na wanapenda watu so angalia kama utamatch nao.
 
i am a real sukuma boy, kwa kiasi kikubwa hatuna matatizo kabisa lakini isiwe chanzo cha wewe kugeuka jeuri kwenye mapenzi kisa unapendwa kweli. timiza wajibu wako, pia usibweteke na usukuma, tumia vigezo na njia za kawaida kumjua vizuri mana hata wasiofaa wapo pia
 
They are so romantic ... Jitahid kumheshimu, kumpenda, uaminifu utakula mema yake sometimes ni wapole hadi kupitiliza
tatizo la wanawake ni kututesa sisi wapole, hata huwa sijui mnataka nini? ukimpata mkorofi na mwenye amri unaona tatizo, ukimpata huyo mpole badala ya kumheshimu na kumpenda ndo unageuka mtesaji. saikolojia ya wanawake ni ngumu sana
 
Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.

mi sina cha kukushauri,
kwani sijaelewa ulichokiandika..,sijui ni kidhungu au kithwahili cha nchi gani?
Poleni vijana wa Mulugo!
 
tatizo la wanawake ni kututesa sisi wapole, hata huwa sijui mnataka nini? ukimpata mkorofi na mwenye amri unaona tatizo, ukimpata huyo mpole badala ya kumheshimu na kumpenda ndo unageuka mtesaji. saikolojia ya wanawake ni ngumu sana

Most of human being tunatabia ya kujua value ya kitu baada ya kuondoka....ni kweli wapo wanaume/ wanawake ambao wanawatesa wapenz wao ila wanajutia sana hizo mistakes ila washachelewa.
 
mi sina cha kukushauri,
kwani sijaelewa ulichokiandika..,sijui ni kidhungu au kithwahili cha nchi gani?
Poleni vijana wa Mulugo!

mh...umekremisha sana wangu, think out of the box kidogo
 
Best lovers on this universe, lakini vichepuo vya hapa na pale ni kawaida kwao. Ila kupendwa, kudekezwa, kuhongwa hadi utakimbia mwenyewe.

Ng'wana Lemi, kanzungu nkoyi.

hahahahaaaaaa hii nimeona kiasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom