Queen of BongoMovie

Umalkia ni zaidi ya kuvaa vitenge na bendera!
 
Amna huyo yeye na mama yake wote hamna kitu
 
Umalkia ni zaidi ya kuvaa vitenge na bendera!
Mkuu, comment yako ni dhahiri kabisa humjui huyu dada kwani ulichoona ni hayo mavazi tu.
Huyu dada anaitwa Yvonne Cheryl au Monalisa kwa jina la usanii. Ameshiriki/kucheza movie nyingi zilizosifiwa hapa nchini na nje. Moja ya filamu iliyompa umaarufu sana ni Girlfriend na nyingine nyingi.Kwa sasa ana kampuni yake ya filamu.
 
Amna huyo yeye na mama yake wote hamna kitu
Kwa kifupi, sema tu hupendi bongomovie!
Huyu dada na mama yake ni tanuru la kuoka bongo movie mkuu!
 
Huyo Dada namkubali sana,,,ni star bila kashfa na kiki za kijinga kama akina wema na wengineo
 
Hapana mkuu, tuzo alichukuaga Elizabeth Michael (lulu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…