FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,987
- 47,058
Tarakilishi hii inafanya kazi kwa kutumia misingi ya 'uchawi'. Mfano tunajua kwamba mtu hawezi kuwa dar es salaam na wakati huo huo akawa Mwanza, lakini kwa tarakilishi hii hilo linawezekana. Pia tunafahamu ili utoke sehemu A kwenda sehemu B ni lazima uwe umetumia njia moja wapo ya zile zilizopo ili kufika, lakini tarakilishi hii inasema unaweza ukatumia zote kwa mpigo kufika.
Kikokotoo hiki cha kwantamu kitakuwa na uwezo (speed) mara bilioni ya vilaptop tulivyonavyo sasa.
===============================
Kikokotoo hiki cha kwantamu kitakuwa na uwezo (speed) mara bilioni ya vilaptop tulivyonavyo sasa.
===============================