The boss nikisoma michango yako mingi inaelekea u mdhaifu when it comes to dadas......ukishindwa tumia condom....
mie nawaadmire wanawake wale watiifu kwa waume zao hawana ubeijing...mie nilivyo mkorofi najijua nyumba yangu itakosa amani tu....:shut-mouth:
sina udhaifu huo
nimewakaa wengi mpaka umri huu
tatizo ni kuwa watu wengi wanashindwa naona
Ungekua unaweza usingesema unatamani kua kama kijana anayeweza...kubali tu kwamba sketi ikijileta kwako hata kama ni bibi kizee huwezi kuitolea nje!
jamani leo ningependa tujadili hiki kitu
sometimes unakutana na watu wanakugusa kwa tabia zao
quality fulani ambazo pengine unatamani kuwa nazo lakini huna
au huwezi kuwa nazo.....
mfano wapo watu wana uwezo wa kusamehe hata kosa liwe kubwa vipi
wengine hawana wivu kabisa,hata akikukuta unaongea na mkewe
hamgombani kabisa....
wengine hawakasiriki kabisa hata uwafanye nini....
na kadhalika na kadhalika
sasa wewe ni quality ipi ambayo huna but ungetamani kuwa nayo???????
mimi huwa nawa admire sana watu ambao wana uwezo wa kukataaa
mwanamke mzuri kwa sababu tu yupo tayari na mwingine
tena bila kuonja....
nilikutana na dogo mmoja nikasema...
why i am not like him lol
haya nicango yenu tafadhali..........
unajua the thing is
zamani nilikuwa hivyo
but nikaona na appear kama mwenye maringo hivi
nikajaribu kuwa social,sasa now
naonekana kama nna udhaifu na wadada
sijui niweje?
na admire mwanaume mkweli.....
naadmire wanawake /wasichana wenye mapenz ya kweli utamkuta demu kasoma mpk chuo ivi na kaz nzuri anaolewa na kajamaa la sa7 ,aimaanish ajapata wa standard yake..anawakataa cz kampenda uyo graduate wa std 7
Kua mstaarabu...
Hata ukikaribishwa chakula kwa jirani wakati umeshashiba ni ustaarabu kusema Asante ila hapana!
i do that everyday
tatizo nimesema how i appear
sio jinsi nilivyo
Wewe nawe uko kila mahala!
na-admire wanaume romantic..siju jitu cold mpaka noma huoni raha ya mapenzi, utani na purukushani za hapa na pale.
pia mwepesi wa kumaliza viporo vya ugomvi mkikosana, siyo ukikosea kidogo anabeba bango mwezi au miezi..