Quality( ubora) - tujadili kitekniki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Quality( ubora) - tujadili kitekniki

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Sep 16, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Salaaa wana jamvi wa teknolojia.

  Neno quality au ubora tunaliongelea sana. Dhumuni la mjadala huu ni kujadili quality kiteniki na kwa mfano. Tuuulizane. tuelimishane tukosoane.

  Zipo concept na theroy nyingi sana zinazotumika kwenye quality . Iiwe ni i katika bidhaaa za viwanda, kilimo, ICT uhandisi, etc. Kuna concept kama TQM SIX SIGMA na yingine nyingi.

  Sasa tujadiliane Je
  • Quality ni nini ?
  • Sifa za quality ni zipi ? na vigezo gani vitumike kubainisha ubora wa kitu.
  • Kuna uhusiano kati ua ubora na gharama kubwa au unafuu wa bidhaa na kutokuwa bora ?
  • Ongeza na maswalimengine.........
  Ili mjadala uwe wa kitekniki zaidi tutumie mifano hai kama
  Je:-
  Marces Benz ina Quality kuliko Volkswagen? au Ferrari ina quality kuliko Marcedes Benz? au Toyota Mark II ina quality kuliko Peugot 504 . Windows Vs Mac Vs Linux ipi ni quality.? Je Boing Vs Airbus niipi ni Quality?. Colgate ya South africa ni bora kuliko colgate ya Tanzania?

  Je tunaongleje Quality ya nyumba hiii bayo ndiy nyumba zetu vijijini tukiliganisha a nyumba tunazzoishi za kwaida za mjini kama sinza mbagala . kinondoni
  village house.jpg

  Je Ni sahii kusema kwa wasatani nyumba za vijijini quality yake ni ndogo sana kulikoza mjini? Jibu liwe ndio au sio to sababu Kwa nini......


  Yaani what makes a qaulity software product ?, or a quality car,? or quality aircraft, or A quality constructoin, and house You can add........


  Karibuni Tujadiliane QUALITY
   
 2. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  SIX SIGMA ni zaidi ya quality management.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok muu lakinihizo principle au methologies ya quality management ndiyo zinajenga falsafa nzima ya quality atika kuzalisha bidhaaa.

  Nimesoma article kuhusu mtaalam mmoja wa Intel anayosema Kampuni ya Apple katika design zao kitu ikubwa wanachozingatia ni form and Look . Maabo mengine yakauja baadae. Hiyo imesababisha apple kuwa na sifa ya uover heat.

  Sasa swali

  • Ni sahii kulingansiha quality ya apple wanaotillia mkazo Form and Look na Kampuni ya Toshiba, au ASUS anambo wao labda wao wanatilia Mkazo durability na maintanability
  • Ni sahii kulignisha quality ya MArceds benz amabo mkazo wao zaidi ni stregnth,, style and security na Toyota mabo design consideratiya inazingatia affodability.
  Note: Ingawa kwa Toyota Secuirty sio muhimu sana laikini zile minimum requimrent za security lazima wazitimize kwa viwango vya automation vilivyowekwa na mashirikaya viwango
   
 4. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Yap six sigma zinasaidia kujua quality ya kitu, coz kama ukiproduce vitu milion 1 na ukaja kuta zaidi ya laki 2 vimeharibika au vipo chini ya kiwango ni obvious kwamba ukimwambia mteja hizo habari anaweza asinunue kabisa bidhaa zenu kwa kuona kwamba hazina ubora
   
 5. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ngoja nitafute model, then nitarudi
   
 6. HT

  HT JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  quality means how nearly perfect the thing is. You have to know the real ideal thing to know the quality of the current
  that is my def
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok je
  • hiyo nyumba ya kijijini kwenye picha Quality yake unasemaje ukilinganisha na nyumba za kawaida za mjini?
  • What is characteristics of a Quality Operating system. Acrodint to your knowledge and exprince Among threee OS i.e MAC, windows and Linux. wich is more near to perfection as point it out ?
  I would like wanajamvis to move into details and specifics if possible. Using your experince , knowldege and observation to expalin Quality.
   
 8. HT

  HT JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kuna vijiji vina nyumba nzuri tu. Nyumba perfect ni ile isiyo na milango wala madirisha yet watu wanaishi. Hii utaipata eden.....kwa hiyo nymba yenye quality inapimwa kwa comfortability na security.
  quality OS haipo, kwa kuwa hata ukijumlisha features zote za OS zote ni bomu. Ila kwa Ubora nadhani hadi sasa hivi, Linux then Mac then Win, kwa wingi wa apps Win then Mac na Linux zinafungana. Kwa muonekano Mac then Linux then Windoze. Security ni Mac na Linux then windoze. Kwa marketing ni windoze then Mac then Linux.....
   
Loading...