Ili Uweze kudownload Movie ktk torrent unatakiwa kwanza uwe na ( Torrent Download manager client ya P2P) yaani P2P ni mfumo wa kushare Data(music,software,movies n.k) kwa wale watu wasio na uwezo wa kununu na mfumo huu unaitwa WAREZ(japo ulipingwa sana sababu watu hawana haja tena ya kwenda nunu ANTIVIRUS wakati kuna hzo hzo za Bwerereee watu wanagawana umaskini)...P2P yaani Pear2Pear inamaanisha kuna watu(seeder) mfano ktk P.C zao wana MOVIES wewe(peer) unaweza kuzidownload kama umeiINSTALL hyo Torrent Download manager ambazo zipo nyingi mfano Bitcomet,Utorrent,Bittorrent,Vuze zamani Azurez,mediaGet ukiwa nayo moja kati ya hizi tena hazina Mb Size kubwa we nenda google type kati ya hizo ila nakushauri cheki BitComet iko poa zaidi ukisha install nenda ktk torrent site mfano Isohunt,Kickass torrent,mininova,thePiratebay na torrentz uanze kushusha(kudownload) movie,music,software n.k.