Quality Group imeanza kujenga kiwanda

Waje apa a town kuna viwanda (majengo) yapo tu mf jengo la kiwanda cha kiko,dawa za mswak bonamed,g tyre firberbord,kilitex,philips,nk nk majengo yapo amna aja ya kujenga upya machine umo ndan ndo amna
 
Mkuu naona upeo wako wa kufikili ni mdogo au ujuhi unachokisema, " kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa una maana gani" siyo kila mtu aandike utumbo kama huna mada kaa kimya.
 
We jamaa hizo ni stori zilikua wazi kila mtu kujisomea. Ama hukua nchini au ulikua mdogo. Aielazmisha halmashauri ni wazir mkuu wa enzi hizo. Just fuatilia program ya kilimo kwanza na uagizaji wa power tiller n trekta za kihindi.

Honestly huezi kuwa hujui hayo yote. Km ndivyo then anza steps kdg kutafuta hata threads zimo humu zingi. Don't expect nikutafunie zaidi ya hapo.

Manji mpigaji tu.
 
Fundisi Muhapa, post: 18531825, member: 185020"]We jamaa hizo ni stori zilikua wazi kila mtu kujisomea (mkuu si utoe hata source moja a mimi nijisomee?). Ama hukua nchini au ulikua mdogo. Aielazmisha halmashauri ni wazir mkuu (Manji+QGL wanahikaje na waziri mkuu tena?) wa enzi hizo.
Just fuatilia program ya kilimo kwanza na uagizaji wa power tiller n trekta za kihindi . Hivi vitatu havihusiani kabisa mkuu

Honestly huezi kuwa hujui hayo yote. Km ndivyo then anza steps kdg kutafuta hata threads zimo humu zingi. Don't expect nikutafunie zaidi ya hapo.

Manji mpigaji tu. Haya ni maoni.Sio uhalisia wa mambo
 
Hii thread inahitaji statistics nyingi kuprove haya ambayo ni ya kuhisi tu.
 
M
Mfano kusema." Wamepewa sapoti kubwa sana na serikali"
. Una uhalisia statistically? Hii yaweza kuwa exageration kwa manufaa yasiyojulikana.
Kididimo unafeli. "Sapoti kubwa sana na serikali" ni vitu vingi. Pamoja na kusema tunakuruhusu. Acha kuwa biased
 
Kididimo unafeli. "Sapoti kubwa sana na serikali" ni vitu vingi. Pamoja na kusema tunakuruhusu. Acha kuwa biased
Ninavyoijua quality group ina nyenzo na wako makini! Support watakayohitaji sanasana ni ya kisera. Otherwise utoe data kamili hiyo support ni ya nini. Jua siko biased ila nataka facts
 
Ninavyoijua quality group ina nyenzo na wako makini! Support watakayohitaji sanasana ni ya kisera. Otherwise utoe data kamili hiyo support ni ya nini. Jua siko biased ila nataka facts
Kwa ninavyofahamu. Serikali inaweza kussuport QGL kwa njia nyingi sana. Ikiwemo kuwatengenezea sera. Kuwa referees when these conglomerates ask for any financial support from financial institution.Kuwabail against its own agencies mfano TRA TPA na agencies nyingine.
 
Namwona PM alivyokaa kwa heshima zote na adabu na utii mbele ya jopo la akina Amitha Abachani,serikali ina madaraka watu wana pesa kamwe private sector huwezi kuibeza na kuwadharau,ama kweli ukubwa pesa shikamoo makelele tu!.
 
Kwahiyo unapendekeza nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…