Qualification za kusoma CCNA

Qualification za kusoma CCNA

kenlick00

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
45
Reaction score
5
Habarin...napenda kuuliza ili uweze soma CCNA course unatakiwa uwe unalevel gan kielim mfano ata mtu anaeanza degree ya IT mwaka wa pili anaweza anza kusoma na pia n garama gan masomo pampja na mitihani ,den n vituo gan vinapatikana hasa kwa dar.....msaaada wakuu
 
Nadhani mngekuwa mnatembelea kwenye tovuti za Cisco wenyewe, huenda huku watu wakakudanganya
 
Habarin...napenda kuuliza ili uweze soma CCNA course unatakiwa uwe unalevel gan kielim mfano ata mtu anaeanza degree ya IT mwaka wa pili anaweza anza kusoma na pia n garama gan masomo pampja na mitihani ,den n vituo gan vinapatikana hasa kwa dar.....msaaada wakuu
CCNA haihitaji uwe na qualification zozote. Wewe tu na hela yako.
Ila level inayofuata ni CCNP ambayo nayo inabadilishwa muundo wake na kuanzia feb 2020 na yenyewe itakuwa free...
 
Back
Top Bottom