Qchilla umerudi mzee

Qchilla umerudi mzee

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,842
Reaction score
27,295
Kazi aliyotoa chilla recently Ni Kali Sana inaitwa "bimbilika" inanikumbusha ngoma zake za nyuma Kama u Hali gani.Jamaa ana kipaji kikubwa Sana napenda apate Mafanikio Kama kipaji chake kilivyo.
 
Unamsifia baada ya kutoka Konde Gang sio
 
Kazi aliyotoa chilla recently Ni Kali Sana inaitwa "bimbilika" inanikumbusha ngoma zake za nyuma Kama u Hali gani.Jamaa ana kipaji kikubwa Sana napenda apate Mafanikio Kama kipaji chake kilivyo.
Huyu alishaihezea nafasi yake. Imeisha hiyo...zama zake zimepita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom