Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Ukiona hivyo ujue uporaji wa madini na maliasili za DRC ni mgumu siku hizi! Siku za nyuma uchumi wa Rwanda ulipaa juu kwa sababu ya kuiba maliasili za jirani.Mmekubali kuwamilikisha mabeberu
Wkt kipindi hiki PK na Tshisekedi ndio marafiki balaa na wanapiga Joint OP's huko porini fresh kabisaa.Ukiona hivyo ujue uporaji wa madini na maliasili za DRC ni mgumu siku hizi! Siku za nyuma uchumi wa Rwanda ulipaa juu kwa sababu ya kuiba maliasili za jirani.
Kwa hio kuna uwezekano wewe ukaona usalama wa nchi uko matatani kuliko PK na baraza lake zima sio mzee baba?ila kuna wasiwasi mm naona kwenye haya makubaliano ,unless ni build operate and transfer ,sasa kama ni 99 years au whatever ? Naona usalama wa nchi uko matatani. Kingine kama wageni ndio majority holder maanake wana final say ,wanaweza wakamkata na raisi kuutumia kama wanamdai .Anyway this is Africa
Mkuu huo ni mtazamo wangu ,ila ukweli naona kuna a lot associated risks immediate and future ones.Kwa hio kuna uwezekano wewe ukaona usalama wa nchi uko matatani kuliko PK na baraza lake zima sio mzee baba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu.Mkuu huo ni mtazamo wangu ,ila ukweli naona kuna a lot associated risks immediate and future ones.
Kwahiyo ndege za mizigo zitakuwa zinatua Rwanda kwenye uwanja unaomilikiwa na wageni. Na hatutoweza kujua zinaleta nini au kubeba nini, na kuna DRC pembeni hapo
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Sio Rwanda kutojua, namaanisha sisi majirani kutojua. Kwani unataka kusema zile Tupolev zillizokuwa zinashuka Mwanza kuchukua samaki serikali ya Mkapa ilikuwa haijui zinaleta nini. Mbona Rwanda hiyo inashutumiwa kusaidia wapiganaji uko Congo na kuiba maliasili. Hapa ndo maana yanguKwa Rwanda ya Kagame au ipi hio?
Rwanda security ni kipaumbele chao cha kwanza kuliko hata chakula,hio ndege itakayotua bila kujulikana imeleta nini ngoja tusubiri tuione.
Halafu hayo mambo ya nchi/mtu kumiliki airport kwenye nchi nyingine mbona ni mambo ya kawaida sana tu?
Kuna mnigeria anaitwa Adebayo Ogunles yeye anamiliki uwanja wa ndege unaoitwa London Gatwick Airport aliununua kwa £1.5bil,je hio ina maana kwamba mizigo itakua inatua kwenye hio Airport bila kukaguliwa sababu Airport haimilikiwi na serikali?
Sio Rwanda kutojua, namaanisha sisi majirani kutojua. Kwani unataka kusema zile Tupolev zillizokuwa zinashuka Mwanza kuchukua samaki serikali ya Mkapa ilikuwa haijui zinaleta nini. Mbona Rwanda hiyo inashutumiwa kusaidia wapiganaji uko Congo na kuiba maliasili. Hapa ndo maana yangu
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Wa Tzn ni watu wakutafutiza hofu zisizo za msingi na kuzikumbatia nadhani unakumbuka ishu ya bagamoyo port hii inasababishwa na mentality za kijamaa ambazo zinakujengea hofu ya kushindwa badala ya kuwa risk taker ufanikiwe si ajabu nchi yetu imejaa rasilimali lakini kutokana na huu utumwa wa kijamaa tunaogelea kwenye umaskini badala ya kuwa risk taker eti tunasubili serikaliKwa hio kuna uwezekano wewe ukaona usalama wa nchi uko matatani kuliko PK na baraza lake zima sio mzee baba?
Sent using Jamii Forums mobile app