Ile Airbus A380-800 hapana chezea bana. First class ipo juu ghorofani kule.
We Nyani Ngabu unataka kutwambia indirect kuwa Ulishawahi kupanda FIRST CLASS NDANI YA QATAR AIR??
teh teh teh teh! Aiseee nimecheka sana hapo! Duhhh!
yah....airbus.....na ni kutoka Doha kwenda sehemu zingine za dunia.....hii haiji huku uswazi...........
aaah,,,,,u mean zinazokuja huku ni mangarangara???
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........
ndenjela yanitosha
Qatar Airways operates four flights a week non-stop between Doha International Airport in the capital of the State of Qatar, and Mwalimu Julius Kambarage Nyerere International Airport in Dar es Salaam. The route is operated with an Airbus A319 in a two-class configuration of eight seats in Business and 102 in Economy.Mkuu hiyo ndege ni likipande la ndege........labda......wawe wameanza kuzileta juzi juzi......hebu kwanza tugoogle tuone.....je......airbus zinatua Tanzania.......?
Sio samaki tu, si umesikia kuna viongozi wanapakia mpaka mkaa kwenye ndege!
Qatar Airways operates four flights a week non-stop between Doha International Airport in the capital of the State of Qatar, and Mwalimu Julius Kambarage Nyerere International Airport in Dar es Salaam. The route is operated with an Airbus A319 in a two-class configuration of eight seats in Business and 102 in Economy.
[h=2]For further information[/h]Qatar Airways Corporate Communications
Tel: +974 4496956, Fax: +974 4620132
E-mail: qrmedia@qatarairways.com.qa
yah....airbus.....na ni kutoka Doha kwenda sehemu zingine za dunia.....hii haiji huku uswazi...........
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........
Ndenjela to Masoko-Bandawe!
mimi49 ... Jibu lipo katika posti ya huyu mdau KASHOROBANA hapa chiniHayo makaa wanapeleka wapi yarabi toba?
umenichekesha na kupakia mkaa, maajabu ayo yametokea zbar, nasikia uyo ni maalim seif alikua akitokea kwao pemba mtaa wa nkanyageni uko alipewa zawadi ya mkaa ah bila kusita akaweka kwenye buti la ndege kwa ajili ya kupikia mashelisheli nyumbani kwake mchamba wima, ah wazenj kiboko
watu wamezoea zile fast jet aka voda fasta unaangalia saa tu yakulanddada sio kweli unachoongea hapa.
All emirates flights from dbx-dar-dbx kila seat ina screen yake na haijaanza leo wala jana.
Hata klm na qatar flights zote zinazokuja dar kila seat ina screen yake
klm wanaleta 777, emirates wanaleata dar airbus 340 na sio boeing za kawaida kama unavyodai na hawajaanza leo wala jana