Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

Je, nikiagiza yanakuja around mida hiyo au unaagiza 24 hrs prior
 
TFDA??Hebu acha ujinga..Unajua kusema uongo ili kuipa promo biashara kunaleta wasi wasi na uadilifu wako

TFDA na maharage wapi na wapi.

Niletee kilo mbili hapa Boko Msikitini.
Usumbufu wa kupika maharage, kutumia muda na nishati nyingi ya gesi/mkaa mwisho Leo. Order maharage ya Q BEANS yaliyochemshwa bila chumvi wala mafuta teyari kupikwa kwa pishi lako utakalo bei nafuu mlangoni kwako.

700gram kwa Tsh 2000/- tu free delivery. Na kwa wajasiriamali wa migahawa na mama ntilie zipo packages za 3kg, 5kg na 8kg.

Q Beans yameandaliwa kwenye mazingira masafi na kudhibitishwa na TFDA.
View attachment 1401789

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TFDA??Hebu acha ujinga..Unajua kusema uongo ili kuipa promo biashara kunaleta wasi wasi na uadilifu wako

TFDA na maharage wapi na wapi.

Niletee kilo mbili hapa Boko Msikitini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usipaniki, kama umefanya biashara yoyote ya chakula kwa kufuata utaratibu wote au uliza yoyote anaefanya, ni lazima TFDA utapitia. Ukizoea biashara ya kona kona hutajua hili mpaka wagonge mlangoni kwako au mteja alalamike kwao.
Swali nikuulize, nikuletea boko ukifungua package yetu ukakuta mende ndani, ni mamlaka gani itakusaidia vizuri na mhisika wa hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usipaniki, kama umefanya biashara yoyote ya chakula kwa kufuata utaratibu wote au uliza yoyote anaefanya, ni lazima TFDA (TMDA) utapitia. Ukizoea biashara ya kona kona hutajua hili mpaka wagonge mlangoni kwako au mteja alalamike kwao.
Swali nikuulize, nikuletea boko ukifungua package yetu ukakuta mende ndani, ni mamlaka gani itakusaidia vizuri na mhisika wa hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye red, kwanza kuanzia July mwaka jana, hakuna kitu kinaitwa TFDA. Iliyokua TFDA sasa inaitwa TMDA. Na majukumu yake hayahusishi kabisa kudhibiti ubora wa maharage.

Kwenye blue, mamlaka itakayodeal na hiko kitu inaitwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ambayo kwa sasa imepewa jukumu la kudhibiti ubora wa vyakula nchini.

Umeona sasa, update taarifa zako na kama TFDA walikupa cheti kua maharagwe yako vizuri kulingana na viwango vya kitaifa na kimataifa warudishie cheti chao, hakina maana yoyote.

Bado nasubiri kilo mbili zangu, Boko Msikitini.
 
[emoji23] [emoji23] wababe na wajuvi wa jf munaojieleza kwa vivid examples

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi amini last night nimeota niko sokoni nauza maharage ya kuchemsha kwa kikombe buku 2. 🤣🤣🤣
1585543123316.png
 
Kwenye red, kwanza kuanzia July mwaka jana, hakuna kitu kinaitwa TFDA. Iliyokua TFDA sasa inaitwa TMDA. Na majukumu yake hayahusishi kabisa kudhibiti ubora wa maharage.

Kwenye blue, mamlaka itakayodeal na hiko kitu inaitwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ambayo kwa sasa imepewa jukumu la kudhibiti ubora wa vyakula nchini.

Umeona sasa, update taarifa zako na kama TFDA walikupa cheti kua maharagwe yako vizuri kulingana na viwango vya kitaifa na kimataifa warudishie cheti chao, hakina maana yoyote.

Bado nasubiri kilo mbili zangu, Boko Msikitini.
Nakuja DM nipate direction za hiyo order yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom