- Thread starter
- #61
[emoji23][emoji23]Halafu mbaya zaidi katika hali ya kugombania wateja ndio ushirikina unaanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Halafu mbaya zaidi katika hali ya kugombania wateja ndio ushirikina unaanza.
Kaka naomba nipelekee order kama ya Mara ya mwisho pale Sinza kumekucha, pakiti mbili, nimekutumia DM namba ya mfanyakazi atakupokea.Tupe order ya maharage yaliyochemshwa ya Q Beans, tukufikishie mlangoni kwako Kesho.
Whatssap 0658090366View attachment 1419113View attachment 1419114
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani hata kama ni suala la kukopi, maana mitaani yapo wanauza kwa bakuli 500.
Nimeona na teyari yupo anapelekewa Dada. Asante kwa kuendelea Kuwa mteja wetu mzuriKaka naomba nipelekee order kama ya Mara ya mwisho pale Sinza kumekucha, pakiti mbili, nimekutumia DM namba ya mfanyakazi atakupokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea mdau, yetu ni ubora, usafi, packaging na bila kusahau ujazo. Na tunakuletea mpaka ulipo. Karibu ujaribu yetu.Sidhani hata kama ni suala la kukopi, maana mitaani yapo wanauza kwa bakuli 500.
Sasa tofauti iwe kwenye packing, ubora, usafi n.k.
Upo mkoa gani, au mwapatikana nchi nzima?Hujakosea mdau, yetu ni ubora, usafi, packaging na bila kusahau ujazo. Na tunakuletea mpaka ulipo. Karibu ujaribu yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Sasa tupo Dar, tarehe 17 May tunaanza Moshi na Arusha. Mikoa mingine tutaenda kutegemeana na hali ya corona itakavyokuwaUpo mkoa gani, au mwapatikana nchi nzima?
Asante dada kwa kuwa mteja wetu mzuriNunueni maharage jamani..
yanasave sana,
Hamna matumizi ya mkaa wala nini pakti ya 2000 inatosha familia ya watu 10
Faida inategemea maharage unayapata wapi na kwa bei gani. Yellow beans tunalima, na soya ndio tunanunua.Gud idea ila mbona kama haina faida hio bishara mfano mi nataka packet moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaliyochemshwa bossNaomba kujua huo uzito ni wa maharage mabichi au ambayo yameshachemshwa?
Nijibu niweke order.
Dada yanatosha kabisa kwa watu hata wanne kwa milo uliyotaja700gms ni kama robo kilo ya maharage ambayo hayajapikwa?
Unaweza kukadiria mfano yanatosha watu wawili mlo wa usiku na asubuhi wali maharage?