- Thread starter
- #41
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora wakopi na kutengenezea hapa hapa Bongo,wasi wasi wangu kuna wahuni hawachelewi kwenda China kutuletea maharage ya plastic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora wakopi na kutengenezea hapa hapa Bongo,wasi wasi wangu kuna wahuni hawachelewi kwenda China kutuletea maharage ya plastic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wamejaribu maharage ya Q Beans yaliyochemshwa na kufurahia huduma zetu, zamu yako Sasa. Tupigie tukuletee mlangoni kwako.Usumbufu wa kupika maharage, kutumia muda na nishati nyingi ya gesi/mkaa mwisho Leo. Order maharage ya Q BEANS yaliyochemshwa bila chumvi wala mafuta teyari kupikwa kwa pishi lako utakalo bei nafuu mlangoni kwako.
700gram kwa Tsh 2000/- tu free delivery. Na kwa wajasiriamali wa migahawa na mama ntilie zipo packages za 3kg, 5kg na 8kg.
Q Beans yameandaliwa kwenye mazingira masafi na kudhibitishwa na TFDA.
View attachment 1401789
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hivi ni TMDA wanadeal na Madawa tuMkuu usipaniki, kama umefanya biashara yoyote ya chakula kwa kufuata utaratibu wote au uliza yoyote anaefanya, ni lazima TFDA utapitia. Ukizoea biashara ya kona kona hutajua hili mpaka wagonge mlangoni kwako au mteja alalamike kwao.
Swali nikuulize, nikuletea boko ukifungua package yetu ukakuta mende ndani, ni mamlaka gani itakusaidia vizuri na mhisika wa hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana. Kuna mmoja ananiuziaga makande ambayo hayajaungwa huku Posta,naenda kuunga mwenyewe homeUsumbufu wa kupika maharage, kutumia muda na nishati nyingi ya gesi/mkaa mwisho Leo. Order maharage ya Q BEANS yaliyochemshwa bila chumvi wala mafuta teyari kupikwa kwa pishi lako utakalo bei nafuu mlangoni kwako.
700gram kwa Tsh 2000/- tu free delivery. Na kwa wajasiriamali wa migahawa na mama ntilie zipo packages za 3kg, 5kg na 8kg.
Q Beans yameandaliwa kwenye mazingira masafi na kudhibitishwa na TFDA.
View attachment 1401789
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayeye kakopi. Wazungu siwanatuuzia kwenye makopo?Baada ya miezi miwili kila mtu atakuwa anauza maharage ya kaliba ya Q beanz
Sawa asante, ntafanya hivyo.. DM namba yako mkuusasa hivi ni TMDA wanadeal na Madawa tu
vyakula wamehamishia TBS kama sijakosea,
ukianzia SiDo inakua rahisi zaidi.
kesho niletee package moja Pale @Pm Fashion duka La nguo kimara Mwisho opposite na TPB
Duh aisee sio poa kabisaWatu wa ajabu sana, anatoa order na direction ya wapi aletewe, ukimfikishia anakana sio yeye alieagiza au mtoto kakosea. Ndio maana polisi, fire na ambulance hawachukulii calls za wabongo serious sababu uhuni mwingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida yetu swala la ubunifu hakuna , ndio maana ukienda huko mtaani unakuta wajasiriamali wanauza bidhaa za aina moja mtaa mzima.
ulikuja kuandika mpaka huku?!Watu wa ajabu sana, anatoa order na direction ya wapi aletewe, ukimfikishia anakana sio yeye alieagiza au mtoto kakosea. Ndio maana polisi, fire na ambulance hawachukulii calls za wabongo serious sababu uhuni mwingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wewe yupo aliyesema hakuagiza Ni mtoto alikosea akichezea simu Alitoa order kwa whatsp. Atakuwa anajijua humuulikuja kuandika mpaka huku?!
Nadhani ungesubiri kusikia upande wa pili kabla ya kuandika hii comment.
okay nitakutumia Hiyo namba uniambie kama ni yeye ameagiza mzigo kwangu pia akidai ni mtoto amekosea.Sio wewe yupo aliyesema hakuagiza Ni mtoto alikosea akichezea simu Alitoa order kwa whatsp. Atakuwa anajijua humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hilo swala la kukosea mtoto si tulilimaliza juzi juzi na yule dada alieleta hayo maharage? Mtoto alikosea ila order yangu ya leo jioni niletee sio mtoto kakosea. Hapa hapa Kawe mlipoleta juziSio wewe yupo aliyesema hakuagiza Ni mtoto alikosea akichezea simu Alitoa order kwa whatsp. Atakuwa anajijua humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mbaya zaidi katika hali ya kugombania wateja ndio ushirikina unaanza.
Mbona hii biashara iko kitambo tu, labda Dar ndio mpya, lakini Mwanza iko muda tu, wanapima kikombe kuanzia sh 500Baada ya miezi miwili kila mtu atakuwa anauza maharage ya kaliba ya Q beanz