Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

Kyunti50 hauko serious. Umenilaza njaa leo.

Hello Dada, pole kwa usumbufu, huku kwenye thread ukitoa order Ni ngumu kuiona, mara chache mtu anaingia. Tumetoa na namba ya simu na whatssap maalumu kwa kupokea order za wateja. Samahani kwa usumbufu na kukosa maharage yetu na chapati.
No mategemeo yetu utatoa order kwetu tena.
 
Back
Top Bottom