Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Watu walimpenda sana kwa kukataa kujipachika urembo wo wote wa bandia.
Mpaka alipoachana na mambo ya modelling na kuamua kuolewa alikuwa hivi hivi: Natural !!!
View attachment 214195
Nancy Mitikisiko karibu jamiiforums ila naomba contact za huyo dada
utafiti usije huku wala yule mkuda Mr Rocky
Kakuruhusu au kijitiatia huko nyuma kama
umesahau sheri
Swissme;
Ngoja waje flat screen uone mapovu yatavyowatoka!!!!!
Aiseeee kuna watu wameubwa daahh!!!!
Mapovu yatutoke kisa nini?Tumeishakubali tumenyimwa basi sasa tutafanyaje?
Unajishebedeua tu.Inabidi nimwombe ruhusa nani? Ameachana na mambo ya modelling na site yake imeweka disclaimer kabisa kuwa ni free kutumia picha zake. Actually hata sijui kama bado iko online. Ni mke wa mtu sasa.
Watu mnaogopa BAN kama ukoma duh! Kila kitu sheria sheria sheria mpaka inakera...
Naomba nipigwe hiyo BAS angalau lo!!!
Mmmhhh aiseeee kweli duniani kuna watu wanapata raha! Anaitwaje huyu na contacts zake plz. Nataka nimsalimie kwa Kipemba tu
Lakini ukivaa hiyo " High heels" ya kwenye avatar unakibinua kiaina
Unajishebedeua tu.
swissme;
Hicho cha kubinua kinatoka wapi sasa yani kitu ni flat haswaaaa
Atiiiiii