Mitikisiko
Senior Member
- Dec 22, 2014
- 170
- 218
jina lake nani?
MO11 huyu dada ndo yule yule bando yako ya jero inaishia kwake au mwengine??Nancy Mitikisiko karibu jamiiforums ila naomba contact za huyo dada
utafiti usije huku wala yule mkuda Mr Rocky
Ebana eeh iweje umekuwa wa kwanza kucomment kwenye huu uzi?
Nyuzi zote za totoz wenye figure kali hukosekani:becky:
Watu walimpenda sana kwa kukataa madoido ya kuvaa mawigi wala kujipachika urembo wo wote wa bandia.
Mpaka alipoachana na mambo ya modelling na kuamua kuolewa alikuwa hivi hivi: Natural !!!
View attachment 214195

Anaitwa nani nim-google kwa picha zingine zaidi?
Watu walimpenda sana kwa kukataa madoido ya kuvaa mawigi wala kujipachika urembo wo wote wa bandia.
Mpaka alipoachana na mambo ya modelling na kuamua kuolewa alikuwa hivi hivi: Natural !!!
Nina picha zake karibia 100 na video moja. Ni decent na the closest she came to being naked ni vazi la pwani. Nitajaribu kuchambua her best photos halafu ntazitia kwenye albamu moja....
Picha zake za sasa baada ya kujifungua kazidi kunenepa lakini figa iko pale pale !!!