Naomba jibu waungwana
hadi ule pweza mkuu ndo upige mzigo?..watoto wa kisukuma noma bora ujikoki mkulu!!Buzuruga kiwanja gani mkuu? Niko kirumba,ninataka kufanya utafiti wa kisayansi kuhusu hii kitu
kwani huwa hawasafirishwi mkuu? au soko lao dogo huko kama huku kwa waswahili?pweza mwanza!??? kama mtaani utalishwa wadudu tu kaka... labda fanya kutembelea tilapia unaeza bahatisha
pweza mwanza!??? kama mtaani utalishwa wadudu tu kaka... labda fanya kutembelea tilapia unaeza bahatisha
Kuna sehemu nishawahi kuona wameandika kuwa hiyo ishu inapatikana hapo lakin nimesahau ni wapi
Iko pale Nyerere Road opposite na Traffic Lights
Buzuruga kiwanja gani mkuu? Niko kirumba,ninataka kufanya utafiti wa kisayansi kuhusu hii kitu
Oyaa menawapataga pale buzuruga,upowapi mkuu
Buzuruga plaza kaka,menipo kilimahewa
Iko pale Nyerere Road opposite na Traffic Lights