PWEZA Kamaliza Ubishi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PWEZA Kamaliza Ubishi!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kimey, Aug 5, 2010.

 1. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Yatatimia Hayaa!! Go Slaa Gooo!!
   
 2. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Inawezekanaaaa kabisa
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yeah lets play our part!!
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jamani Uchaguzi si Mpira hata kama tunataka mabadiliko
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Ambulance za kubebea wenye BP mmeandaa au mnaleta mchezo kwenye ulaji,hiyo october iko njiani.
   
 6. k

  karisti Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo inawezekana kabisa but still kazi ya kuuelimisha umma inahitajika kuuondoa uongozi dhalimu na wa kifedhuli uliojaa
  ubabaishaji, uvivu, ubinafsi, ..............etc.

  Kenya pia ilikuwa hukohuko but changes came! refer Kibaki's reign.


  ANGALIZO!!!!!!!!!

  PWEZA ALIYEBUNIWA HAPO JUU ASITUBWETESHE,
  HATA MIMI NAWEZA KUM EDIT AKAONESHA USHINDI WA JK INGAWA NTAMPIGIA SLAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
  :nod::nod::nod::nod::nod::nod::nod::nod::nod::nod: AU SIYO!
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii haimaanishi kuwa kisa Pweza kasema ndo watu walale.. No!! hata huko kwenye Mpira Timu ilicheza tena sana na kwa kujituma mwishowe ikashinda! So lets play our role kama wananchi!!
   
 8. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nyie mnaota kweli!, kuiondoa CCM ni ngumu sana kwa sasa labda baada ya miaka 500 ijayo...
   
 9. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red ni "Relative term"
   
 10. J

  Jafar JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mungu ibariki Tanzania
   
 11. m

  mkenda1000 Member

  #11
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mamaaaaaa au ndo maana JK kaenda Norway jana labda anaenda kuhakiki alichotabiri pweza huyu
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  gademu, for whose benefit
   
 14. s

  schulstrasse Senior Member

  #14
  Aug 5, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani i wish Slaa ashinde..though CCM watashinda coz watz wengi wako vijijini na kule wanakijua ccm tu,hii mambo ya sera mbovu wao hawana habari,wengine hawajui hata sera ni nini!we have a job to do kuwaelimisha wapiga pira hasa vijijini ndo wamelala...:help:
   
 15. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jamani huyu Paulo safari hii mbona inaonekana kama kabandikiwa badala ya kuchagua mwenyewe, mbona kama bendera zimemficha miguu badala ya vice versa. Haya tusubiri huo ushindi wa CCM, akha samahani tena wa CHADEMA kwa mujibu mganga.
   
 16. D

  Dick JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Paulo kabandikiwa tu, japo kinachoonekana kinafanana na ukweli.

  Kwa upande mwingine, Paulo anaonekana kuwa na supu tamu na yenye nguvu sana au vipi wana JF?
   
 17. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mmmh pweza kumbe anatisha!!1
   
 18. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kivipi? Mbona yupo kotekote. Hana uhakika?
   
 19. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hata mim sijauelewa msimamo wa pweza uko wapi.
   
Loading...