Pwani watamani kupelekewa Makonda na Hapi!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
Ni wananchi mbalimbali wameeleza kutoridhishwa na namna ambavyo wakuu wao wa mkoa na wilaya mjini kibaha wamishindwa kufanya lolote kusaidia kuuboresha mji wa kibaha. Hivyo wakaomba kama kuna uwezekano wapewe wawili hao japo kwa mda mfupi.

Chanzo: redio.
 
source redio gani mbona habari yako kama haina uhalisia imekaa kiukada sana.

Kwanini asiwe Gambo ?
 
hao watu wa Pwani labda waseme wanataka mkuu wao wa mkoa apelekewe media ya kutosha na utitiri wa waandishi wa habari.

huyo makonda na Happi wanacheza tu na media.
 
Back
Top Bottom