Pwani: Askari Polisi agoma kusema CCM oyee. Afukuzwa kwenye mkutano na kiongozi wa CCM, aambiwa atakiona

Stupidity never ends, unamuuliza mtu swali huku umepanga majibu yako mwenyewe how do you think you are relevant in someone's life to the point of holding his reasoning power?
 
Mmh Ndungai mbona ana elimu lakini aneamua kukanyaga katiba ya nchi na anajisifu kuwa hakuna wa kumfanya lolote.
Huyo kaharibiwa na malezi ya babake wa kufikia maana ukitazama watoto wa huyo mzazi utagundua kuwa kila mtoto hakubaliki kwenye jamii
 
Stupidity never ends, unamuuliza mtu swali huku umepanga majibu yako mwenyewe how do you think you are relevant in someone's life to the point of holding his reasoning power?
Hiyo ndiyo ccm na kibaya zaidi unakuta huyo mtu ni ngumbaru hata kuandika jina lake hawezi
 
Alinifurahisha sana. Nyakati hizo kila mtu anaogopa utawala wa jiwe. Yeye mbele ya camera akasimama imara. Nakumbuka kuna mada ililetwa humu watu wakidai ataoewa uhamiaho wa adhabu na mengine kama hayo
 
Watu kama hawa ni wachache sana duniani.
 
Back
Top Bottom