PVC windows gharama zake ni kubwa mno

PVC windows gharama zake ni kubwa mno

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,361
Reaction score
6,967
Wadau naomba kujuzwa hivi ni kwanini gharama za madirisha ya PVc ni juu mnoo? Na je kama kuna mtu ana connection na fundi anaye tengeneza PVC Windows kwa bei nafuu embu weka connection fasta.
 
Wadau naomba kujuzwa ivi ni kwann gharama za madirisha ya PVc ni juu mnoo ? Na je kama kuna mtu ana connection na fundi anaye tengenezaPVC Windows kwa bei nafuu embu weka connection fasta
Achana na vitu vya matajiri, uwe na heshima kidogo tafadhali. Sio kila kitu kiko kwa ajili yako
 
Boss bei kubwa ni kutokana na bei ya material sio hata fundi...PVC iko juu na pia aluminium imepanda sa hv...kwahyo ogopa matapeli utaibiwa bure
 
Mimi ninazo ready made na kwa bei poa kabisa madirisha na milango first class na yote ni double glass.
Nataka zasize 5*5 5 pcs , 4*6 2pcs , 6*6 1pcs 2*2 2 pc
Note
Unit ni ft.

Sema utauza bei gani
 
Nataka zasize 5*5 5 pcs , 4*6 2pcs , 6*6 1pcs 2*2 2 pc
Note
Unit ni ft.

Sema utauza bei gani
Ngoja nikaone vipimo
IMG-20210923-WA0110.jpg
IMG-20210923-WA0102.jpg
IMG-20210923-WA0103.jpg
 
Back
Top Bottom