PVC V/S Aluminium Windows

PVC V/S Aluminium Windows

Mganga wa Jadi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2008
Posts
280
Reaction score
52
Habari za leo wadau? Naomba wajuzi na wataalamu wa vifaa na mambo ya ujenzi mnijuze
kati ya aluminium na pvc ni ipi nzuri kwa madirisha Dar maeneo ya karibu na bahari?
asanteni
 
Mie sio mtaalam ila ninachoelewa aluminum ya ukweli huwa haishiki kutu. Ila kama unahofu bora utumie PVC.
 
PVC garama yake ni juu sana, lakini baharini ni safi !
ALUMINIUM garama ni cheaper lakini , badae atleast 2 years ibidi ufanye service kidogo !
 
PVC garama yake ni juu sana, lakini baharini ni safi !
ALUMINIUM garama ni cheaper lakini , badae atleast 2 years ibidi ufanye service kidogo !

PVC ndio ikoje hiyo? inafanana na plastic?je sio rahisi kuvunjika au kuharibiwa kwa jua?
 
Aluminium ni karne moja na pvc sina hakika kama inaweza kudumu kwa miaka 50 ukilinganisha na jua na joto la dar, piga hiyo no utapata maelezo kwa mtaalam 0754016470
 
Hongera kwa ujenzi,nyie ndio haswaaaaa muijengao nchi yenu,PVC ndio nini Mkuu manake wengine nyumba zetu ni za tope
 
PVC zina muonekano mzuri saana, hasa zikitengezwa kitaalam, ni fire retardant, pia ni weather resistant na hazishiki kutu pia, Japo bei ni ghali kiasi lakini it is worth it. Aluminum ni cheaper, nimezitumia miaka kadhaa sasa, lakini my next project ni lazima nitumie UPVC, zina muonekano wa kipekee na machaguo mengi zaidi ya rangi. Ni kweli aluminium inadumu zaidi, lakini UPVC ni around 30 years inabidi ubadlishe!!

810.jpg
aw9.jpg
 
Back
Top Bottom