Puuh!

huyo jambazi mwenyewe anaweza kuwa Mr.Gay Cameron kamvalisha jamaa kondom ili a...... Nalog off
 
Jamaa m1 alikuwa anatembea na mke wa jirani,siku 1 mke wa jirani akamuita jamaa mida ya ucku ili wafanye matusi kwa sababu mumewe hakuwepo,wakati wanaendelea ku duu,jirani akarudi akawa anagonga mlango,yule mwanamke akafungua mlango wa nyuma akamwambia jamaa aondoke,
jamaa alikukuruka na kukimbia UCHI hadi kwake alipofika akamgongea mkewe,mkewe akamuuliza "mme wangu vp mbona uko uchi alaf unahema kama ulikuwa unakimbizwa?"
jamaa likajibu,"mke wangu nimevamiwa na majambazi njiani wakanivua nguo zote ndo maana niko uchi"
mkewe akamwambia,"pole mme wangu wamekuvua nguo zote,ila kwa nini wamekuvisha kondom?

Hii kali nimeikubali.
 
Duu..
Sijui unasemaje yani,bado sijapata jibu,ngoja niwaze ningefanyaje.!?
Hapo kuumbuka 2..
 
Duu..
Sijui unasemaje yani,bado sijapata jibu,ngoja niwaze ningefanyaje.!?
Hapo kuumbuka 2..
hihihihi..hahahaha...hehehehe...hohohohoho.....huhuhuhuhuhuhuhuhuhuhu...buhbuhbuhbuhbuh....kwek kwek....kan kan kan kan kan.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom