msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,148
At least we are on the same page.
Wakati wenzake wanajenga sound institutions yeye kabakia na kujenga personality yake aabudiwe. Typical of a communist, propaganda. Urusi hali ngumu.
Wenzake wanatengeneza foreign policies zitakazowanufaisha, yeye amebaki na foreign policies zile zile za cold war. Excuse zake ni zile zile. Hadi wananchi wake washaanza kumshtukia.
Leo hii wenzake wanakubali uhuru wa mawazo, yeye kabakia kuua au kumfunga yoyote atakayemsema vibaya in the name of national security. Nchi itaendelea vipi? Rest well Anna Polikvoskaya.
Uchumi umeshikiliwa na watu wachache na kufaidisha yeye na marafiki zake (ex-KGBs) na kushindwa kujenga uchumi unaboresha maisha ya warusi kwa mentality zao za umimi.
Hapa anasifiwa huyu mpuuzi. Urusi na brain power yake yote ilistahili leo hii iwe na Silicon Valleys 20. There is none. Thanks to this fool! Amebakiwa na propaganda tu.
Leo hii watu wanaenda India for medical tourism wanaacha kwenda Urusi. Huyu kauua brains za Russia. Hastahili sifa hata kidogo.
Urusi ilisifika kwa waanadishi wazuri wa vitabu. Leo hii wapo wapi? It is sad. Si mambo ya kusifia kimzaha kisa mtu kapiga picha anaogelea.
This guy has failed Russia. Time will tell.
Inaonekana una akili kubwa sana kuliko putin..
Basi gombea urais uteletee maendleo..