Putin:'US wants to subdue Russia, but no one did or ever will

Hivi una akili sawasawa.? Unajua chanzo na source ya Ebola ( Jiulize kwa nini badala ya unayemuita ana msaada kipindi cha ebola alipeleka soldiers badala ya madaktari west Africa kwa ajili ya kupambana na Ebola).?

Kama unataka kujua ni kwa nini Putin karudia madarakani na Dmitry medvedev alternating, go and google chanzo cha kuanguka kwa urusi, utapata jibu then fanya reverse engineering utapata jibu

FSB formerly KGB ni best spy machine katika dunia hii. Sidhani kama wangefumbia macho maovu katika kipindi hiki ambapo russia inataka kunyanyuka tena. Putin yupo pale for purpose, na ameandaliwa long time kuja kutimiza hiyo purpose, na kazi mpaka sasa anaifanya vyema.
Mbona unatoka povu wewe kijana? Moja, je unajua ugonjwa wa ebola uligundulika kwa mara ya kwanza lini na wapi? Mbili, granted Putin yuko pale for a purpose, je aliandaliwa long time na nani kwa hiyo purpose? Tatu, hebu nenda taratibu, it is just a matter of time, bahatika uishi miaka mingi, you have a lot to learn about world politics.
 
Wala sijatokwa povu mkuu, ishu ni facts. Hivi hao unaowaita sio wabinafsi unafahamu kuwa walitumia tiba kumponya daktari kwa ebola. Walipoulizwa wakasema kuwa ile ilikuwa undergoing treatment ilokuwa katika research so tungetumia kwa waafrica na ingefail jumuiya ya kimataifa isingetuelewa. Hivi inaingia akilini kweli.?

Isitoshe Lavrov alitangaza kuwa madaktari wake wanaingia katika research ya na vascine/cure itapatikana ndani ya miezi 6.

Kazi ya putin ni dhahiri inaonekana, russia ya kipindi cha Yelstin si hii ya sasa.
 
Mkuu Mag3, Hii philosophy yako ya kuomba-omba na kuwa tegemezi sio nzuri mkuu.
Why unawaza muda wote kuwa LAZIMA usaidiwe?
Nani anaombaomba? Katika vita dhidi ya ebola kwa nini msaada uombwe? Ebola ikishika kasi nani atapona? Vita dhidi ya ebola ni ya wote, ni ya dunia...hata sisi Watanzania tunatakiwa tushiriki kwa uwezo wetu hadi mkono unapofikia.
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!

Hizi akili za kusaidiwa kama vilemma ni tatizo kubwa sana kwa watu weusi! Yani mpaka tunaona sasa kusaidiwa na mzungu ni haki yetu!
Unankumbusha wananchi wa nchi flani walimwambia Nyerere wanaomba wafadhili msaada wa kusomesha watoto wao akawauliza mbona hawakuomba msaada wakati wakiwatafuta hao watoto?

Inasikitisha na usomi wetu bado tuna such slave mentallity kama this individual up there. Why the fshould you be helped all the time!?
Hata hivyo nchi yake inatafuta vaccine na wana progress nzuri. Google.
Word of advise jaribu kuangalia news zingine kama Reuters, RT, CCTV sio tu CNN na Fox ili upate kujua the other side of the coin.
Ni kiongozi anaejali watu wake na kurudisha greatness ya watu wake na nchi yake, for that I will admire him.
 
At least we are on the same page.

Wakati wenzake wanajenga sound institutions yeye kabakia na kujenga personality yake aabudiwe. Typical of a communist, propaganda. Urusi hali ngumu.

Wenzake wanatengeneza foreign policies zitakazowanufaisha, yeye amebaki na foreign policies zile zile za cold war. Excuse zake ni zile zile. Hadi wananchi wake washaanza kumshtukia.

Leo hii wenzake wanakubali uhuru wa mawazo, yeye kabakia kuua au kumfunga yoyote atakayemsema vibaya in the name of national security. Nchi itaendelea vipi? Rest well Anna Polikvoskaya.

Uchumi umeshikiliwa na watu wachache na kufaidisha yeye na marafiki zake (ex-KGBs) na kushindwa kujenga uchumi unaboresha maisha ya warusi kwa mentality zao za umimi.

Hapa anasifiwa huyu mpuuzi. Urusi na brain power yake yote ilistahili leo hii iwe na Silicon Valleys 20. There is none. Thanks to this fool! Amebakiwa na propaganda tu.

Leo hii watu wanaenda India for medical tourism wanaacha kwenda Urusi. Huyu kauua brains za Russia. Hastahili sifa hata kidogo.

Urusi ilisifika kwa waanadishi wazuri wa vitabu. Leo hii wapo wapi? It is sad. Si mambo ya kusifia kimzaha kisa mtu kapiga picha anaogelea.

This guy has failed Russia. Time will tell.
 
Mkuu yaani nilichoona ni umetaja taja majina tu uliyoyakariri kichwani, lakini hakuna jipya zaidi ya wivu,
Inaonekana ni Mgeni muno na High politics.....Totally. Wrong...
 
Ni tatizo kubwa kua na western source of information tu. Hata China ilisemwa hivi hivi na wazungu kuhusu haki za binadamu, no democracy e.t.c. leo hii Mmarekani anampigia magoti mchina.

Putin and Russia know what they are doing, and the last person to give any form of advice on leadership,governance and propserity to Russia is a Tanzanian.
With the state of affairs in our country the only people that we have the "authority" to give advice to are the Somalis who actually dont have a government!
 
Isitoshe Lavrov alitangaza kuwa madaktari wake wanaingia katika research ya na vascine/cure itapatikana ndani ya miezi 6.
Kazi ya putin ni dhahiri inaonekana, russia ya kipindi cha Yelstin si hii ya sasa.
Wengine tunakumbuka toka wakati wa Nikita Krushchev (1958 to 1964) na hotuba yake iliyoitwa secret speech ya mwaka 1956 iliyosambaratisha muongozo wa Stalin miaka mingi tu kabla ya Yelstin na nchi ikijulikana kama USSR, wewe!...USSR iko wapi sasa!
 
Mkuu yaani nilichoona ni umetaja taja majina tu uliyoyakariri kichwani, lakini hakuna jipya zaidi ya wivu,
Inaonekana ni Mgeni muno na High politics.....Totally. Wrong...

Inaweza kuwa sijui "high politics" au huna uelewa na nilichokiandika.
 
Wengine tunakumbuka toka wakati wa Nikita Krushchev (1958 to 1964) na hotuba yake iliyoitwa secret speech ya mwaka 1956 iliyosambaratisha muongozo wa Stalin miaka mingi tu kabla ya Yelstin na nchi ikijulikana kama USSR, wewe!...USSR iko wapi sasa!

USSR has gone with Gorbachev na policy zake za glasnosts and perestroika, na kilichoiondoa ni hiki Putin anachokihakikisha kisitokee tena. Mpaka sasa kuna baadhi ya raia wa china wanalalamikia udikteta wa serikali, but look at where china is heading. So to russia.
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!
Mag3..usijione ni wewe pekee mwenye macho na masikio, hayo uliyodhani watu hawajayaona fahamu kuwa kila aliyemsifia Putin hapo juu anafahamu na hakuna mtu anamsifia Putin eti ili aipe Afrika pesa, no Afrika itajengwa na Waafrika wenyewe.Hivyo sio jukumu la Putin wala mwingine yoyote kuijenga Afrika.

Lakini pamoja na hayo, dunia bado inamhitaji Putin kwa ustawi wake, nguvu zilizoelemea upande mmoja tu baada ya vita baridi sio afya kwa dunia.

Binafsi ningependa ata awe Rais wa Maisha, tunahitaji balance of power in the world, na so far ni Russian pekee chini ya Putin inayojitahidi kufanya hivyo.
 
With all due respect, katika kipindi chote cha utawala wa Putin toka mwaka 2000 hadi leo Russia imetoa msaada gani kwa nchi yoyote ile including jirani zake China na Japan zilipokumbwa na natural disasters kama tsunami au tetemeko. Hilo moja, lakini la pili China ilipotoa msaada wa pesa na rasilimali kusaidia balaa la ebola Afrika, je huo ugonjwa ulitengenezwa pia nchini China? Okay, why Tanzania? Niambie Putin anafuata nini Tanzania?

Kwani obama na bush walifwata nn tanzania?? Possibly Puttin naye atafwata hicho hicho!!
 
Hizi akili za kusaidiwa kama vilemma ni tatizo kubwa sana kwa watu weusi! Yani mpaka tunaona sasa kusaidiwa na mzungu ni haki yetu!
Unankumbusha wananchi wa nchi flani walimwambia Nyerere wanaomba wafadhili msaada wa kusomesha watoto wao akawauliza mbona hawakuomba msaada wakati wakiwatafuta hao watoto?

Inasikitisha na usomi wetu bado tuna such slave mentallity kama this individual up there. Why the fshould you be helped all the time!?
Hata hivyo nchi yake inatafuta vaccine na wana progress nzuri. Google.
Word of advise jaribu kuangalia news zingine kama Reuters, RT, CCTV sio tu CNN na Fox ili upate kujua the other side of the coin.
Ni kiongozi anaejali watu wake na kurudisha greatness ya watu wake na nchi yake, for that I will admire him.

Mkuu ukitaka kumjua Putin ingia hata you tube u type "the rise of putin" ; ni dictator hatari sana, aliingizwa madarakani na kikundi cha mafisadi ambao walitajirika kipindi nchi ina hali mbaya. Akaingiza KGG wenzake na kuanzia hapo yeyote anayepinga sera zake anamshughulikia, hata ukimbie nchi (refer yule jamaa aliyekimbilia UK akauwawa na majasusi wake kwa ile sumu kama aliyowekewa Mwakyembe). Ukimuandika vibaya umekwenda, kuna wanamuziki walimuimba vibaya wakaishia jela. Kiufupi ameua demokrasia nchini humo.
 
Mkuu Mag3

Ulikuwa unataka Russia atumie kodi ya wananchi wake kwa ugonjwa wa Ebola uliotengenezwa pale Atlanta Georgia?
You are very wrong. ..

Naona Mag3 bado ana mentality za uombaomba..sio sifa kwa Afrika kuwa ombaomba na Mag3 alipaswa alijue hivyo.
 
With all due respect, katika kipindi chote cha utawala wa Putin toka mwaka 2000 hadi leo Russia imetoa msaada gani kwa nchi yoyote ile including jirani zake China na Japan zilipokumbwa na natural disasters kama tsunami au tetemeko. Hilo moja, lakini la pili China ilipotoa msaada wa pesa na rasilimali kusaidia balaa la ebola Afrika, je huo ugonjwa ulitengenezwa pia nchini China? Okay, why Tanzania? Niambie Putin anafuata nini Tanzania?
Acha mentality ya umatonya..uombaomba ni aibu
 
Nani anaombaomba? Katika vita dhidi ya ebola kwa nini msaada uombwe? Ebola ikishika kasi nani atapona? Vita dhidi ya ebola ni ya wote, ni ya dunia...hata sisi Watanzania tunatakiwa tushiriki kwa uwezo wetu hadi mkono unapofikia.

Kama sio akili za ombaomba unalalamika nin sasa kwa Russia kutosaidia?akili za ombaomba hizo.
 
Mkuu ukitaka kumjua Putin ingia hata you tube u type "the rise of putin" ; ni dictator hatari sana, aliingizwa madarakani na kikundi cha mafisadi ambao walitajirika kipindi nchi ina hali mbaya. Akaingiza KGG wenzake na kuanzia hapo yeyote anayepinga sera zake anamshughulikia, hata ukimbie nchi (refer yule jamaa aliyekimbilia UK akauwawa na majasusi wake kwa ile sumu kama aliyowekewa Mwakyembe). Ukimuandika vibaya umekwenda, kuna wanamuziki walimuimba vibaya wakaishia jela. Kiufupi ameua demokrasia nchini humo.

Jamaa anakimbizana na Pussy Riot. Hapa anageuzwa kiongozi bora.
 
Back
Top Bottom