Putin:'US wants to subdue Russia, but no one did or ever will

Maswala

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
560
Reaction score
226
attachment.php

Russian President Vladimir Putin on Tuesday accused the United States of wanting to subdue Moscow but warned Washington it would never succeed.

"They (United States) do not want to humiliate us, they want to subdue us, solve their problems at our expense," Putin told a meeting with a core support group, the People's Front, triggering loud applause.

"No one in history ever managed to achieve this with Russia, and no one ever will."

Source:
http://www.cnbc.com/id/102195894
 
Attachments

  • 101595816-179597572.530x298.jpg
    101595816-179597572.530x298.jpg
    16.9 KB · Views: 1,095
Ni kweli US anataka kusolve matatizo ya ndani mwake kwa kuzichafua nchinyingine...Deni la Taifa linazidi kupaa matatizo ya Ugaidi ndo yameongezeka zaidi ya ilivyokua Al qaeeda moja now zipo elfu moja kidogo....Ushawishi umepungua sio km zamani CHINA anakuja kwa hatari NORTH KOREA ina miliki Neuclear weapon na hana jinsi, RUSSIA is bad No ambaye anahofiwa si na US bali na EU..IRAN ndo kwanza ana install highly sophiscated centrifugals kwenye nuclear machine zake na lazima atengeneze nuclear weapon...Kilichobaki kwa US nikuzishawishi nchi za EU ili kuungana na kuziyumbisha tawala nyingine km Syria nk...
 
Muoga tu huyo...nothing special...half mental...mwizi sana huyo...!!!
 
tungempt huyu jamaa vyama vinavochukua ruzuku ujerumani angevifuta
 
Nafikiri ni kiongozi wa kwanza akitua bongo nami nitajisumbua kwenda kumwona na naweza toa hata million 1 nipate chance ya kupiga nae picha. Tatizo Vasco kaambiwa ole wake amkaribishe, nasikia wamemweka kitu Le profeser pale kwa prostate akifanya tu wasivyotaka wana bonya remote halafu hicho kitu kinampa shoti ya umeme. Kwahio Putin hawezi kuja, Msafiri anaogopa shoti kwenye eneo la tezi dume.

NB. Hio tetesi nimeskia kwa mateja flani TABATA jana.
 
tungempt huyu jamaa vyama vinavochukua ruzuku ujerumani angevifuta

Huyu angeuwa ma ccm yote na hakuna ambaye angemsemesha!Tembo wangefikia milioni.Hakuna twiga ambaye angepandishwa ndege,Rizione angeachwa China anyongwe kwa kukamatwa na Unga, nk, nk
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!
 
Aje Tanzania...globally they will squeeze him. Have u seen the falling down of Oil prices?
 
Mkuu Mag3

Ulikuwa unataka Russia atumie kodi ya wananchi wake kwa ugonjwa wa Ebola uliotengenezwa pale Atlanta Georgia?
You are very wrong. ..
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!

Hivi una akili sawasawa.? Unajua chanzo na source ya Ebola ( Jiulize kwa nini badala ya unayemuita ana msaada kipindi cha ebola alipeleka soldiers badala ya madaktari west Africa kwa ajili ya kupambana na Ebola).?

Kama unataka kujua ni kwa nini Putin karudia madarakani na Dmitry medvedev alternating, go and google chanzo cha kuanguka kwa urusi, utapata jibu then fanya reverse engineering utapata jibu

FSB formerly KGB ni best spy machine katika dunia hii. Sidhani kama wangefumbia macho maovu katika kipindi hiki ambapo russia inataka kunyanyuka tena. Putin yupo pale for purpose, na ameandaliwa long time kuja kutimiza hiyo purpose, na kazi mpaka sasa anaifanya vyema.
 
Mkuu Mag3, Ulikuwa unataka Russia atumie kodi ya wananchi wake kwa ugonjwa wa Ebola uliotengenezwa pale Atlanta Georgia?
You are very wrong. ..
With all due respect, katika kipindi chote cha utawala wa Putin toka mwaka 2000 hadi leo Russia imetoa msaada gani kwa nchi yoyote ile including jirani zake China na Japan zilipokumbwa na natural disasters kama tsunami au tetemeko. Hilo moja, lakini la pili China ilipotoa msaada wa pesa na rasilimali kusaidia balaa la ebola Afrika, je huo ugonjwa ulitengenezwa pia nchini China? Okay, why Tanzania? Niambie Putin anafuata nini Tanzania?
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!

MKUU Mbona muongo sana!!??Mimi nimeona kabisa kwenye tv foreign Minister wa Russia Lavrov baada ya Kumaliza trip yake Zimbabwe akakutana na viongozi wa Africa Union akasign million of $ in fight against Ebola.Watz tujifunzage vitu vingine kusoma hata kwa kugoogle tu siyo kupiga story mitaani alafu unaleta JF ambako kuna wasomi kubao.Na siyo tu hivyo Kama hujui Russia Pia are already in a process of making Ebola cure which will be released next year.
 
With all due respect, katika kipindi chote cha utawala wa Putin toka mwaka 2000 hadi leo Russia imetoa msaada gani kwa nchi yoyote ile including jirani zake China na Japan zilipokumbwa na natural disasters kama tsunami au tetemeko. Hilo moja, lakini la pili China ilipotoa msaada wa pesa na rasilimali kusaidia balaa la ebola Afrika, je huo ugonjwa ulitengenezwa pia nchini China? Okay, why Tanzania? Niambie Putin anafuata nini Tanzania?

Obama anatafuta nini Tanzania.? Hivi unajua mchango wa russia kwa Tanzania.? If not, go and ask TPDF about it.

Na kwanza kwa nini uishi kwa kutegemea misaada wakati uwezo na rasilimali unazo. No wonder Tanzania ni maskini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom