Putin:'US wants to subdue Russia, but no one did or ever will

Na sasa hivi Putin kaamua kuelekeza mabomba ya mafuta na gas Asia. ..

Kwa hakika Europe watakipata cha moto...
 
Watu wanauliza ni kwa nini Putin anakuja bongo...

Ni kama Xi na Obama walipokuja hapa Tz kwa ajiri ya maslahi ya mafuta na gas (kama watu wanavyodhani).

Lakini Russia ina kampuni yake ya mafuta na gas inayoitwa Gazprom International inafanya utafiti kile lake Tanganyika. .. kwa hiyo si vibaya kwa Putin kuja kuangalia mustakabali wa kampuni ya ki Russia
 
Yaani hapa jamaa katema cheche kali sana! Na USA anajua fika kuwa Urusi sio mchezo; ni moto, tena wa kuotea mbali!
 
Naona Mag3 bado ana mentality za uombaomba..sio sifa kwa Afrika kuwa ombaomba na Mag3 alipaswa alijue hivyo.
Masonjo hebu pitia michango yangu humu JF ujue ni wapi ninaposimama kuhusu sera ya ombaomba ambayo imeshikiwa bango na huu utawala wetu wa kitapeli na kifisadi. Tumetembeza bakuli kama matonya kila sehemu ya dunia na unajua ninavyochukia na kupiga vita hiyo tabia ya ombaomba wakati nchi imejaa neema. Mimi ni katika watu wanaoamini taifa hili haliwezi kupiga hatua kama Chama Cha Matonyas (CCM) kitaendelea kubaki madarakani...wanaomba na wakipewa wanatapanya kama watu wasio na akili ili kesho yake bila aibu warudi kuomba tena. Hapana Masonjo, kama wewe ni muungwana, niombe msamaha kwa hii tuhuma uliyonibebesha.
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!

Russia's Defense Ministry has begun airlifting equipment to-build a-field hospital to-Ebola-stricken Guinea in-response to-the country's plea for-help with battling the-deadly epidemic, Interfax reported Sunday.

"The first two military transportation aircraft [Russia's Antonov An-124] carrying equipment to-build a-field hospital and-medical supplies have left Sochi for-the Conakry Airport," Major General Igor Konashenkov said, Interfax reported. "This field hospital will allow for-the placement and-treatment of-200 people infected by-highly dangerous viral diseases, but will also ensure that they can live autonomously during their time in-quarantine."

The-initiative-— which involves the-delivery of-more than 150 tons of-cargo by-three Russian military aircrafts-— follows President Vladimir Putin's order to-Defense Minister Sergei Shoigu to-assist Guinea in-combatting the-deadly disease.

Putin's press secretary, Dmitry Peskov, said Saturday that the-field hospital would be donated to-Guinea free of-charge, TASS reported.

Last week, Prime Minister Dmitry Medvedev announced that Russia would contribute $20 million to-the global fight against the-disease. In-October, the-Russian Health Ministry announced that the-country was hoping to-produce three Ebola vaccines within six months' time.

The-World Health Organization reported Friday that 1,166 people had died from-the Ebola virus in-the West African country of-Guinea since the-outbreak of-the epidemic. Ebola has claimed more than 5,000 lives since the-outbreak began, according to-the same statistics.
 
Unajua where pussy riots walipoibukia.? Inaonekana politics zimekukalia kando na huelewi michezo ya politics

Sweeping statements hazisaidii. Wewe unayejua politics jibu hoja na si blanket statements tu.

Si kila mrusi anayempinga Putin katumwa na Mmarekani. Kuna wanaoona upuuzi wake. Na kila siku wanaongezeka.

Mfano Garry Kasparov katumwa na Marekani? Leo hii husikii Obama akisema Lupe Fiasco katumwa na Urusi. Pussy Riot ni warusi 100%.

Hizo excuses zishapitwa na wakati. Watu wanahoji uko wapi ubora wa elimu katika Urusi ya sasa? Uchumi mbona mbovu na marafiki zake tu wanatajirika? Mbona hamna uhuru wa habari? Etc. Etc.

Sasa badala ya kujibu hayo anatumia excuse kwamba nyie mmetumwa. Propaganda.

Unasema Urusi ana best spy machine, if that was the case leo hii Eastern Europe yote ingepokea orders from Moscow. Lakini he is struggling with a few acres of Ukraine at the moment. Best spy machine? Overrated
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!

Unafikiri kila raisi na nchi yake ni bongolala kama sisi? Kuna watu hawatakuja kussuport uhafidhina unaofanywa na nchi za magharibi kamwe.. Ikumbukwe kuna tetesi kuwa Ebola ni man-made from US so mtu akili km Putin cannot subdue his efforts & resources on wastage for Western tests.. Yule ni kati ya watu imara na wazalendo kwa nchi zao..
 
Russia's Defense Ministry has begun airlifting equipment to-build a-field hospital to-Ebola-stricken Guinea in-response to-the country's plea for-help with battling the-deadly epidemic, Interfax reported Sunday.

"The first two military transportation aircraft [Russia's Antonov An-124] carrying equipment to-build a-field hospital and-medical supplies have left Sochi for-the Conakry Airport," Major General Igor Konashenkov said, Interfax reported. "This field hospital will allow for-the placement and-treatment of-200 people infected by-highly dangerous viral diseases, but will also ensure that they can live autonomously during their time in-quarantine."

The-initiative-— which involves the-delivery of-more than 150 tons of-cargo by-three Russian military aircrafts-— follows President Vladimir Putin's order to-Defense Minister Sergei Shoigu to-assist Guinea in-combatting the-deadly disease.

Putin's press secretary, Dmitry Peskov, said Saturday that the-field hospital would be donated to-Guinea free of-charge, TASS reported.

Last week, Prime Minister Dmitry Medvedev announced that Russia would contribute $20 million to-the global fight against the-disease. In-October, the-Russian Health Ministry announced that the-country was hoping to-produce three Ebola vaccines within six months' time.

The-World Health Organization reported Friday that 1,166 people had died from-the Ebola virus in-the West African country of-Guinea since the-outbreak of-the epidemic. Ebola has claimed more than 5,000 lives since the-outbreak began, according to-the same statistics.

CC Mag3
 
Last edited by a moderator:
With all due respect, katika kipindi chote cha utawala wa Putin toka mwaka 2000 hadi leo Russia imetoa msaada gani kwa nchi yoyote ile including jirani zake China na Japan zilipokumbwa na natural disasters kama tsunami au tetemeko. Hilo moja, lakini la pili China ilipotoa msaada wa pesa na rasilimali kusaidia balaa la ebola Afrika, je huo ugonjwa ulitengenezwa pia nchini China? Okay, why Tanzania? Niambie Putin anafuata nini Tanzania?

Mkuu,,,niwewe kweli umeandika hayo maandishi? Kwanini tunaamini ktk kusaidiwa Kila nchi ina taratibu zake mfano,,TZ cc nikugawa mali zetu kisha tunaenda kuomba VYANDARUA mataifa mengine wanakopesha kwa mashart magumu na km hao warusi hakuna kitu kinaitwa msaada kila nch ijitegemee sasa kwanini tudhani wanakosea,,,!
 
Mkuu ukitaka kumjua Putin ingia hata you tube u type "the rise of putin" ; ni dictator hatari sana, aliingizwa madarakani na kikundi cha mafisadi ambao walitajirika kipindi nchi ina hali mbaya. Akaingiza KGG wenzake na kuanzia hapo yeyote anayepinga sera zake anamshughulikia, hata ukimbie nchi (refer yule jamaa aliyekimbilia UK akauwawa na majasusi wake kwa ile sumu kama aliyowekewa Mwakyembe). Ukimuandika vibaya umekwenda, kuna wanamuziki walimuimba vibaya wakaishia jela. Kiufupi ameua demokrasia nchini humo.

Everybody has critics ndugu, hata Yesu na Mohammed sembuse mtu Putin. Mungu tu mwenyewe anapingwa na wanadamu. Hivyo kuwepo kwa critics sio ishara tosha ya "kufeli" kwa kiongozi.
Niambie is there Democracy in Saud Arabia, Kuwait, Bahrain e.t.c. Hawana hata uchaguzi hawa watu ila hujawahi sikia Mareakni ikitaka peleka "democrasia" huko.
Mimi nina imani kua an iron fist is necessary katika kuleta maendeleo ya nchi hasa ikiwepo stage flani. Urusi ilikua inafutika katika great powers za dunia, ila sio siri kuwa Putin kairudisha.

Anyways, tunaikosea hii debate sababu tunaongea tu bila kutoa mifano halisi. Ningekua na mda ningekua nina attach evidence hapa huku tukiendelea jadiliana.
 
Nafikiri ni kiongozi wa kwanza akitua bongo nami nitajisumbua kwenda kumwona na naweza toa hata million 1 nipate chance ya kupiga nae picha. Tatizo Vasco kaambiwa ole wake amkaribishe, nasikia wamemweka kitu Le profeser pale kwa prostate akifanya tu wasivyotaka wana bonya remote halafu hicho kitu kinampa shoti ya umeme. Kwahio Putin hawezi kuja, Msafiri anaogopa shoti kwenye eneo la tezi dume.

NB. Hio tetesi nimeskia kwa mateja flani TABATA jana.

Hahahaa what afeeling aisee
Putin noma sana anajua anachokifanya
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!

Misaada kuhusu ebola ndo kutuma vikosi vya jeshi?
Is eborq terrorist?
Think big guys mbona mnakua misukule hvyo? Ebola is a weapon
 
Wala sijatokwa povu mkuu, ishu ni facts. Hivi hao unaowaita sio wabinafsi unafahamu kuwa walitumia tiba kumponya daktari kwa ebola. Walipoulizwa wakasema kuwa ile ilikuwa undergoing treatment ilokuwa katika research so tungetumia kwa waafrica na ingefail jumuiya ya kimataifa isingetuelewa. Hivi inaingia akilini kweli.?

Isitoshe Lavrov alitangaza kuwa madaktari wake wanaingia katika research ya na vascine/cure itapatikana ndani ya miezi 6.

Kazi ya putin ni dhahiri inaonekana, russia ya kipindi cha Yelstin si hii ya sasa.

Dude u knw putin sio hawa wenye akili za ombaomba wa magogoni
 
Mkuu ukitaka kumjua Putin ingia hata you tube u type "the rise of putin" ; ni dictator hatari sana, aliingizwa madarakani na kikundi cha mafisadi ambao walitajirika kipindi nchi ina hali mbaya. Akaingiza KGG wenzake na kuanzia hapo yeyote anayepinga sera zake anamshughulikia, hata ukimbie nchi (refer yule jamaa aliyekimbilia UK akauwawa na majasusi wake kwa ile sumu kama aliyowekewa Mwakyembe). Ukimuandika vibaya umekwenda, kuna wanamuziki walimuimba vibaya wakaishia jela. Kiufupi ameua demokrasia nchini humo.

We ni muongo aisee
Yule jamaa aliyekua uk ailikua double agent so jipange tena
 
Ndio tatizo kubwa la Watanzania; kumsifia mtu bila hata kujua huyo mtu anasimamia nini. Putin alikuwa Raisi wa Russia na kipindi chake kilipoisha akamwachia msukule wake na hivyo kulazimisha ateuliwe kuwa Waziri Mkuu. Kipindi cha huyo msukule ulipoisha Putin akarudia Urais kwa mara ya pili kama vile alikuwa tu mapumzikoni. Wakati huu ambapo Afrika inakabiliwa na janga la ugonjwa wa Ebola, Russia chini ya Putin ni nchi pekee katika dunia ya kwanza ambayo haikutoa msaada wowote...si pesa, si dawa, si vifaa, si wataalam wala washauri. Putin kusema kweli, does not give a damn about what he still considers a dark and primitive continent, Africa. Hii habari ya ya yeye kutembelea Tanzania si tu ni kichekesho kisicho kipimo, ni habari ambayo imewashtua wengi...anakuja Tanzania kufanya nini!

Kubali ushoga ili upewe dawa ya ebola..

Pumbav mtu mzma na akili zako unalili misaada.?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom