Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,952
- 22,228
Supreme leader wao Yuko ahera anafurahia mabkra yake 72Imagine anapigana na Ukraine ambayo inapewa support na EU na US lakini kuna mmoja ndiye anajiita super power akishirikiana na mwenzake ambaye naye wanadai ni tishio walisema wataimaliza Iran ndani ya week 2 sasa ni zaidi ya miezi bado wanahaha. Tena wanapigana na nchi ambayo imekuwa na vikwazo kwa zaidi ya miaka 30 na nchi hiyo kama inapata support inapata hiyo support kwa siri sana sio kama Ukraine.
Kweli masuper power ni wa mchongo siku hizi