Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,888
iwe kasema au hajasema yeye ila kilichopostiwa ni kweli 100% ukibisha angalia post za mastaa wetu wengi hupost wakila bata Dubai,London,Newyork nk. Ila huwezi ona wamepost labda wakiwa kwenye mbuga za wanyama za kwetu au hata basi mapango ya handeni