PUTIN ON AFRICA AND AFRICANS

PUTIN ON AFRICA AND AFRICANS

Una hakika Putin kasema hayo?

This is not even foolishness!

Wee acha tu mkuu.
Unaweza kupost kwamba Mlima kilimanjaro umehamia uganda, ukashangaa hoja ikapata wachangiaji wanaosikitishwa na hilo jambo, hawahoji hii habari nani kasema, inawezekana mlima kuhama? Huyo aliyesema anasifa za kuaminika kutoa hizo taarifa?
 
Ndio tatizo la wabongo hawapendi kufikirisha bongo wao wanapokea tu habari.Nilivyoona hii post nili doubt Putin sio mbumbumbu mpaka aseme maneno hayo wazi kabisa nikaenda kujiridhisha google lakini holla sijakuta chochote...nikakuta link 2,moja ndio hii inakuelekeza mpaka jamii forum na nyingine wa naija basi

Na sio mara moja wabongo baadhi hawajui kijifikirisha ..wakati google ipo
 
putin ni miongoni mwa viongoz wenye maono, sawa na rais wa uchina.hawapayuki ovyo, na wanatuhitaji sana afrika, though aliepost hayuko mbali na ukweli.
 
Pamoja na kwamba Putin hajasema, lakini hebu tusitafute emotional security, what if akisema???
Kwani si kwel?? Na assume ni hoja binafsi ya mtoa Mada, ni kwel kabisa na tunahitaji mabadiliko si madogo..just imagine umepata pesa unatunza ulaya asilimia hamsini ya safari zako ni ulaya, kuongea siku hizi maneno 2kiswahili saba kiingereza, umepata kimada unampeleka ulaya....kuzikwa tuuuu ndo Africa kiroho safi..what stupidity is this..
 
Ila kuzaliwa Africa ni mtihani sana, ukitaka kuamini kuna pimbi mmoja kabadilisha hadi jina la nchi yake kazi yake ni kuogeza wake Ikulu na kusahau shida za waliokuingiza Ikulu....

Hawa viongozi wa Africa dawa yao ni Drone tu
 
Hoax hakuna kitu kama hiki. Putin anataka.sapot ya afrika hawezi kuongea pumba kama hizi. Itakuwa wabaya wake US ndo wanamkaririsha hayo maneno
 
This is not even foolishness!

Wee acha tu mkuu.
Unaweza kupost kwamba Mlima kilimanjaro umehamia uganda, ukashangaa hoja ikapata wachangiaji wanaosikitishwa na hilo jambo, hawahoji hii habari nani kasema, inawezekana mlima kuhama? Huyo aliyesema anasifa za kuaminika kutoa hizo taarifa?
Watu wamepinda kupoita maelezo.
 
Write your reply...
hata kama ni fake news lakini ukweli uko pale pale. lazima tujitambue, tujue tunakosea wapi na namna pekee ya kujitambua ni kuambiwa ukweli
 
Back
Top Bottom