Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,911
- 146,066
Hii ni fake news, Putin hakusema hayo. Kusema kasema hayo ni uongo. Hatutaki uongo.Ni muhimu kujua u fake au uhalali wa source au ni kudadavua mantiki ya maneno hayo?!? kuwa na interest zake Afrika hakumzuii kusema anachokiamini, Tajiri Dangote pamoja na kuwa na uwekezaji TZ alisema anachokiamini kuhusu TZ!
Unabisha? Hii ni fake news au si fake news?